themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Naskia huko waziri mkuu wa Ethiopia ameingia front line kwenye mapambano na waasi wa Tigray, ila awe makini sana la sivyo atadondokea pua na hawa waasi kimasihara wanaweza fanya mambo makubwa yakaishangaza Dunia
Naona harufu ya hawa waasi kuna Mataifa yapo nyuma yao hii nguvu waliyonayo kuna mkono wa mataifa mengine ikiwemo wazungu na misri, waziri mkuu wa Ethiopia awe makini sana la sivyo atandikwa akiwa front line
Kitu kingine ni ugumu wa maisha wa watu wa Ethiopia unaweza changia watu kuigeuka nchi yao na kuwa waasi maana keki ta taifa inaliwa na wachache