Waziri Mkuu wa Ethiopia awe makini sana kuna harufu naanza kuinusa

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
947
3,224
Naskia huko waziri mkuu wa Ethiopia ameingia front line kwenye mapambano na waasi wa Tigray, ila awe makini sana la sivyo atadondokea pua na hawa waasi kimasihara wanaweza fanya mambo makubwa yakaishangaza Dunia

Naona harufu ya hawa waasi kuna Mataifa yapo nyuma yao hii nguvu waliyonayo kuna mkono wa mataifa mengine ikiwemo wazungu na misri, waziri mkuu wa Ethiopia awe makini sana la sivyo atandikwa akiwa front line

Kitu kingine ni ugumu wa maisha wa watu wa Ethiopia unaweza changia watu kuigeuka nchi yao na kuwa waasi maana keki ta taifa inaliwa na wachache
 
Saga zima si alilianzisha yeye? Aliambiwa kuongea akakomaa. Huyu saizi ya wa Tigrayans. Wanamla kichwa asubuhi asubuhi.
 
Naskia huko waziri mkuu wa Ethiopia ameingia front line kwenye mapambano na waasi wa Tigray, ila awe makini sana la sivyo atadondokea pua na hawa waasi kimasihara wanaweza fanya mambo makubwa yakaishangaza Dunia

Naona harufu ya hawa waasi kuna Mataifa yapo nyuma yao hii nguvu waliyonayo kuna mkono wa mataifa mengine ikiwemo wazungu na misri, waziri mkuu wa Ethiopia awe makini sana la sivyo atandikwa akiwa front line

Kitu kingine ni ugumu wa maisha wa watu wa Ethiopia unaweza changia watu kuigeuka nchi yao na kuwa waasi maana keki ta taifa inaliwa na wachache
Takbiiir.
 
Anaweza kuwa kama Rais wa chad aliyekufa kwenye uwanja wa mapambano
 
Tatizo letu waAfrika kila matatizo yetu tunataka kuwaangushia wazungu kuwa ndio chanzo cha matatizo ila ujinga wa viongozi wetu hatuuoni!! kiongozi anaanza siasa za ukabila/kiitikadi , badala ya kushughulika na matatizo ya wananchi wake yeye anapambana kuweza kubakia madarakani na kuwatesa wapinzani wake, nchi ikilipuka mnaanza kusema ohooo BEBERU. Huyo rais alipoingia madarakani dunia nzima ilimuona kama ndio mkombozi , sasa walio mtuza hiyo nishati ya nobeli wanajisikiaje kwa sasa?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom