Waziri Mkuu, Raila Odinga, atinga ndani ya EU headquarters mjini Brussels!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225

1.jpg

Prime Minister of Kenya, Raila Amolo Odinga speaks during a press conference on March 8, 2012 at the EU Headquarters in Brussels.
 
987757-01-02.jpg

EU Council President Herman Van Rompuy (R) welcomes Kenyan Prime Minister Raila Odinga (L) on March 7, 2012 before a working session at the EU Headquarters in Brussels. AFP PHOTO / GEORGES GOBET

dnRaila0703b.jpg

987873-01-02.jpg

EU Council president Herman Van Rompuy (R) and Prime minister of Kenya Raila Odinga (L) give a joint press conference after their working session on March 7, 2012 at the EU Headquarters in Brussels.

993400-01-02.jpg

European Commission President Jose Manuel Barroso (R) and Prime Minister of Kenya, Raila Amolo Odinga (L) give a joint press conference after their working session on March 8, 2012 at the EU Headquarters in Brussels.

993411-01-02.jpg

Viongozi zote za Afrika ni vitarishi tu.

Zile ambazo zinakataa utarishi huwa zinashugulikiwa kama Gaddafi, kama Mugabe.

Kwanza viongozi zenyewe zinagushi kura,zinajitangazia ushindi na hazipo kwa maslahi ya mataifa yao bali matumbo yao.

Huko si ajabu amekwenda kuripoti kuhusu kazi aliyopewa, operation Al shabaab.
 
anaanza kujiweka sawa ili awe kwenye good books za wafadhili ahead of the forthcoming general elections in Kenya...
 
Ila Raila yuko smart sana siyo sawa na M*kwere

Huyu Raila ni Kibaraka wa Uingereza na Marekani; anataka kurejesha Kenya chini ya udhibiti wa wakoloni hao. Sasa wanataka kumuadhibu Kibaki kwa kumpelekea Hague kutokana na misimamo yake ya kushirikiana na china katika sekta za biashara, usalama na kijeshi. Lakini naona Raila atafeli. Hebu subirini kile kitabu cha Miguna Minguna, kiko jikoni kinaandikwa na Republicans wanaompinga binamu yake Odinga yaani Obama.
 
Erfan,

..mbona Raila alikuwa China kutafuta investors?

..Republicans wanaompinga Obama wanajaribu kumpakazia kwamba ni Mkomunisti.

..zaidi wanajaribu kumuunganisha Obama Sr na Oginga Odinga ambaye kuna kipindi alikuwa mfuasi wa siasa za mrengo wa kijamaa/kikomunisti.

NB:

..hata Raila nadhani alisoma Ujerumani Mashariki ile ya Wakomunisti, tena inasemekana alipita hapa Tanzania na kusafiri kwa passport yetu. naomba kusahihishwa kama nimekosea.

..wengine waliopata kutumia travelling "documents" za Tanzania ni Mzee Nelson Mandela na Miriam Makeba wakati wa utawala wa makaburu Afrika kusini.
 
Kuna haja ya mjaluo kutawala kenya ili kuondoa dhana ya ukabila iliyoota mizizi, namsupport Odinga au mtu yeyote kutoka mombasa anaweza kusaidia ukabila kenya
 
Viongozi zote za Afrika ni vitarishi tu.

Zile ambazo zinakataa utarishi huwa zinashugulikiwa kama Gaddafi, kama Mugabe.

Kwanza viongozi zenyewe zinagushi kura,zinajitangazia ushindi na hazipo kwa maslahi ya mataifa yao bali matumbo yao.

Huko si ajabu amekwenda kuripoti kuhusu kazi aliyopewa, operation Al shabaab.

celebrating african zeros?

Africa's shame!
 
Erfan,

..mbona Raila alikuwa China kutafuta investors?

..Republicans wanaompinga Obama wanajaribu kumpakazia kwamba ni Mkomunisti.

..zaidi wanajaribu kumuunganisha Obama Sr na Oginga Odinga ambaye kuna kipindi alikuwa mfuasi wa siasa za mrengo wa kijamaa/kikomunisti.

NB:

..hata Raila nadhani alisoma Ujerumani Mashariki ile ya Wakomunisti, tena inasemekana alipita hapa Tanzania na kusafiri kwa passport yetu. naomba kusahihishwa kama nimekosea.

..wengine waliopata kutumia travelling "documents" za Tanzania ni Mzee Nelson Mandela na Miriam Makeba wakati wa utawala wa makaburu Afrika kusini.

Kufika Odinga china kutafuta wawekezaji ilikuwa ni jambo la 'Protocol' tu. Hata Iran amefika mara mbili kisha akaenda kupiga magoti Tel Aviv ambapo aliomba msaada wa kijeshi. Kisha hana tenda dhana za kikomunisti, kama ambavyo Ujerumani Mashariki ilisambaratika na kujiunga na mabepari wa Magharibi yeye pia alisha jivua siasa za ukomunisti/ujamaa. Ni kweli alipita Tanzania lakini hiyo tanzania leo si ile ya ujamaa kwani imeshaukumbatia ubepari tena ule wa kiliberali. Odinga haaminiki tena ni kibaraka wa Marekani, Uingereza na Israel. Ataiuza nchi huko. Wazungu kumpigia debe Odinga ni sehemu ya vita baridi vya China na Wamagharibi/Israel barani Afrika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom