Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Naomba kuuliza kwa nia njema tu na katika harakati za kuunga mkono azima nzima ya kubana matumizi ya serikali.
Safari ninayoingelea hapa ni ile ya kwenda Uingereza kumwakilisha rais akiwa yeye na msafara wake.
Kama kweli tuko serious na kubana matumizi, basi serikali itoe muongozo juu ya viongozi gani wanaostahili kusafiri na business class na viongizi gani wanaostahili kusafiri na daraja la kawaida.Tuwe na mwongozo kwa spika,Jaji Mkuu wabunge, mawaziri,makatibu wakuu, mabalozi, wakurugenzi na viongozi wengine.
Viongozi wakuu wa kitaifa husafiri na ndege za seriali lakini sidhani kama nao ni mara zote hasa kwa makamu wa rais na waziri mkuu.Lakini pia kuna marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu.
Ahsanteni.