Waziri Mkuu na mradi wa vitambulisho vya Uraia

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
131
Naona unaendelea na ngonjera hii hadi lini!!

Wakati details zilizoko ktk vitambulisho vya mpiga kura tulivyotumia Oktoba ni Uraia tosha , unaposema kuwa serikali awamu ya 4 ilikuwa na majukumu mengi pamoja na hili la vitambulusho vya Uraia, Swali: Je, huu mradi umeishia Dar na Moro pekee?

Je, Mradi huu unaendelea Mikoa ipi kwa sasa?
 
Mkuu Salary slip
Hawa jamaa hasa Majaliwa , ana poteza Step huwezi kasi ya Magufuli japo bado mapema lolote laweza tokea
Nitaamini Magufuli nikiona
KATIBA MPYA YA WARIOBA & WANANCHI
Mikataba ya Madini inavunjwa na kuundwa upya tofauti na hayo Ngonjera kama kawa
 
...umeishia dar?! una hakika wakazi wote wa dar wanavyo?
mimi nilienda kupiga picha mwaka jana mwezi wa 11, nikaambiwa nitulie nitatumiwa sms kuhusu siku ya kwenda kukichukua,mpaka leo kimyaaaa...!!!
 
ni bora tume ya vitambulisho ikavunjwa nec ipewe kazi ya kuissue vitambulisho hivyo
 
Vitambulisho vya nec ambavyo mpaka meza na, viti na pikipiki vilipigwa picha?....mtu akienda kuandikishwa, hadaiwi nyaraka yeyote kuthibitisha uraia wake ,uraia atakao utamka ndo unaandikwa.... wahamiaji haramu wote wamevikimbilia.... at least NIDA wana uhakiki mathubuti wa uraia na umri wa mtu, mahali anapo ishi etc... NIDA wanajenga mfumo wa utambuzi wa watz na sio kutoa tu vitambulisho kama NEC.... kwa anae jua kulinganisha NEC na NIDA ni kama kulinganisha kichiguu na mlima kilimanjaro....
 
Maslahi binafsi si bure.
TRA, TANESCO, TPA, TTCL, ATCL, TRL, NIDA, LITA, TANAPA, IKULU ya JK, LGAs, NEC et la hayo yote ni mapango ya rushwa kubwa kupitia manunuzi ya umma kwa fedha za bajeti na Miradi ya Maendeleo, kila mwaka.
Tuwe wakweli.
 
Mkuu Salary slip
Hawa jamaa hasa Majaliwa , ana poteza Step huwezi kasi ya Magufuli japo bado mapema lolote laweza tokea
Nitaamini Magufuli nikiona
KATIBA MPYA YA WARIOBA & WANANCHI
Mikataba ya Madini inavunjwa na kuundwa upya tofauti na hayo Ngonjera kama kawa

Haswaa! JPJM asipofanya hayo atakuwa msanii kama wengine tu!
 
Mimi nilijiandikisha mwaka 2012 Nov Magomeni nimekipata 2015 October.....Moro pia zoezi lilifanyika ila nina uhakika waliopata ni wafanyakazi wa serikali kwanza.....especially wafanyakazi wote wa Hospital ya rufaa na kwa mkuu wa mkoa....hii kitu ni kama pilot flani
 
Niko zangu chuo moshi huku dar wanaandkisha narudi dar mchezo umekwisha duh cijui itakuwaje
 
Naona unaendelea na ngonjera hii hadi lini!!

Wakati details zilizoko ktk vitambulisho vya mpiga kura tulivyotumia Oktoba ni Uraia tosha , unaposema kuwa serikali awamu ya 4 ilikuwa na majukumu mengi pamoja na hili la vitambulusho vya Uraia, Swali: Je, huu mradi umeishia Dar na Moro pekee?

Je, Mradi huu unaendelea Mikoa ipi kwa sasa?

Mradi wa kupigia pesa...
 
Mimi nilijiandikisha mwaka 2012 Nov Magomeni nimekipata 2015 October.....Moro pia zoezi lilifanyika ila nina uhakika waliopata ni wafanyakazi wa serikali kwanza.....especially wafanyakazi wote wa Hospital ya rufaa na kwa mkuu wa mkoa....hii kitu ni kama pilot flani
Mkuu umeeleza vizuri... ni kama pilot fulani maana NIDA hawakupewa pesa za kutosha na serikali.... NEC ilibidi wapewe sababu ya kubanwa na muda japo serikali iliisha kuwa na shida kubwa ya kipesa.... technology ya NIDA na NEC ni mbingu na ardhi... watu hawafanyi utafiti bali wanapiga tu kelele... wajiridhishe kwanza NEC walipewa sh ngapi na NIDA wamepewa sh ngapi mpaka sasa hivi.... ila ni mradi bora kabisa wa utambuzi wa watz.....
 
Maslahi binafsi si bure.
TRA, TANESCO, TPA, TTCL, ATCL, TRL, NIDA, LITA, TANAPA, IKULU ya JK, LGAs, NEC et la hayo yote ni mapango ya rushwa kubwa kupitia manunuzi ya umma kwa fedha za bajeti na Miradi ya Maendeleo, kila mwaka.
Tuwe wakweli.
wewe huelewi... NIDA mwaka huu wamepewa only 2% ya bajeti yao... unataka wafanyeje? Mnapenda tu kukurupuka bila kuwa na data.... vipaumbele vya serikali ilikuwa NEC sababu ya uchaguzi wenye time limit na sio NIDA maana vitambulisho vya taifa tangu awamu ya kwanza vimekuwa vikifikiliwa lakini watawala hawaoni umuhim... NIDA wakiwezeshwa, usajiri ni kara 1 tu na technolojia bora kabisa Africa, acheni kulinganisha NEC walio piga picha mpaka pikipiki na NIDA......
 
Ngoja tuone
Hakukuwa na Mtu ambaye alijua kuna uchaguzi Mkuu wa Rais mbele kwamba vitambulusho vya NIDA vipatikane haraka ili tuvitumie uchaguzi wa Rais
Kumbe nchi haina wwatu Makini
Hata wewe unaweza kuwa WAZIRI
Makini kabisa kuliko walopita
 
...umeishia dar?! una hakika wakazi wote wa dar wanavyo?
mimi nilienda kupiga picha mwaka jana mwezi wa 11, nikaambiwa nitulie nitatumiwa sms kuhusu siku ya kwenda kukichukua,mpaka leo kimyaaaa...!!!

Namimi mkuu hivyo hivyo...utapeli mpaka kwa wananchi wako....ni laana.
 
Back
Top Bottom