PostGE2025 Mwigulu: Walipanga kuchelewesha uchaguzi ili kuingiza nchi vitani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.

Waziri fake
 
Huyo ana matatizo ya akili.Kama mchakato wa katiba mpya/marekebisho yalihitaji ridhio la wananchi wote na si vyama vya siasa pekee,nini kilishindikana kuwashirikisha wananchi wote?Hivi,huwa anaandaa na kutafakari maneno ya kutamka au huwa yanamponyokea jukwaani tu?Mbona ni kichwa-maji sana huyo?
 
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
ukisoma au kusikiliza sera za ccmu , huwa wanajieleza kbs kuwa hawapo tyr kukubaliana maoni ya raia labda mpk vita
 
Hata wananchi wanashangaa.
 
Mbona ana akili ndogo kiasi hiki? Hii nchi kusonga mbele kwa watawala wa aina hii ngumu labda miujiza
Kuna tatizo hujitokeza kwa watu wengi waliopitia kazi ya kuchunga mifugo utotoni.Huwa wanasharabu tabia na akili za wanyama hao zinawaingia kwenye nafsi zao.Na sasa ndiyo tunashuhudia matokeo.
 
Hawa jamaa kwa kutuona mazuzu huwa wanakuja na statement kama vile hatukuwepo kabisa duniani yani, huyu mwegulue anazungumza hivi akijua kwamba kengez hatusikia wala kuona haya yakitokea na ilikuwaje? Hata kama tuna ugonjwa wa kusahau si ni mwaka jana tu haya yamefanyika? Hata aliyesema bado you gerezani na hajahukumiwa bado!
 
Kuna ndugu yetu mmoja kutoka Kenya alisema yafuatayo baada ya kusikiliza bunge la Gen Z. "Nilidhani Watanzania ni watu wenye uelewa mdogo, wasiojua vyema hata lugha ya kiingereza, ila nimekuja kugundua sivyo ilivyo bali Tanzania wajinga na wapumbavu wachache ndio wana platform ya kusikika ila kuna watu wengi sana wa maana wako Tanzania ila hawasikiki kwa sababu ndani ya Tanzania wenye mamlaka ni wajinga na wapumbavu wanaoogapa mawazo ya werevu (watu wa maana)."

Mfano si hata nyie mnaona watu wa maana kabisa kwenye field ya sheria kama TAL anawekwa gerezani ilhali vilaza kama kina Hamza Johari wanatamba kwenye ofisi za umma.
 
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy:

----------
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza hivi karibuni na wananchi wa Bunju, Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam wakati wa ziara ya kukagua ujenzi wa soko na kituo cha mabasi, Dkt. Mwigulu alidai kuwa upinzani ulikuwa na mpango wa kusogeza mbele uchaguzi ili muda wa kikatiba wa Serikali uishe, jambo ambalo lingetoa mwanya wa kuitisha maandamano ya kuing'oa Serikali madarakani.

Waziri Mkuu alifafanua kuwa Katiba haiwezi kubadilishwa kupitia makubaliano ya vyama vya siasa pekee, bali ni mchakato unaohitaji kura za Watanzania wote.

Akigusia suala la ushindani katika uchaguzi huo, Dkt. Mwigulu alilinganisha hali hiyo na michezo, akisema kuwa wale walioamua kutoshiriki kwa ridhaa yao wasilalamike kuhusu ukubwa wa ushindi wa waliokuwepo uwanjani.
Huyu jamaa mpaka leo huwa najiuliza alipataje Uwaziri Mkuu. Real sad to have this kind people.
 
Huyi mtu, unafiki, tamaa ya cheo na pesa, vimemwondolea kabisa hata ile akili ya kawaida. Anaongea kama mwendawazimu. Hao waliotaka kusifanyike uchaguzi bandia, bali ufanyike uchaguzi halisia baada ya kuweka mifumo sahihi ya kusimamia uchaguzi, ndio walikuwa na akili na dhamira njema. Waliolazimisha uchaguzi kwenye mazingira yasiyotia nafasi halisia ya mwananchi kufanya maamuzi, hao ndio mashetani, binadamu haramu, maadui wa Taifa letu, na hao ndio chanzo cha maafa ya maelfu ya watanganyika.
 
Kuna ndugu yetu mmoja kutoka Kenya alisema yafuatayo baada ya kusikiliza bunge la Gen Z. "Nilidhani Watanzania ni watu wenye uelewa mdogo, wasiojua vyema hata lugha ya kiingereza, ila nimekuja kugundua sivyo ilivyo bali Tanzania wajinga na wapumbavu wachache ndio wana platform ya kusikika ila kuna watu wengi sana wa maana wako Tanzania ila hawasikiki kwa sababu ndani ya Tanzania wenye mamlaka ni wajinga na wapumbavu wanaoogapa mawazo ya werevu (watu wa maana)."

Mfano si hata nyie mnaona watu wa maana kabisa kwenye field ya sheria kama TAL anawekwa gerezani ilhali vilaza kama kina Hamza Johari wanatamba kwenye ofisi za umma.

Upo sahihi sana. Tunatawaliwa na low minds, majitu yente mioyo ya uhalifu, yasiyofikiria chochote isipokuwa namna ya kudhulumu wananchi.
 
Back
Top Bottom