Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
anaota ndoto ya 2015
atakuwa anamuombea marehemu!
Anamuota NaguNi aibu kwa Mh. Sumaye kuuchapa usingizi msibani (Msiba wa Mama Charles Kimei).
![]()
siku hizi waziri mkuu ambaye hakumaliza muda wake anavaa kibishoo wapi cheni naona kaacha vifungo wazi lakini sioni licheni kama lile la mkaahapa
Chezea usingizi wewe?
Hahaha Mkuu umenichekesha sana ila hizo ni swagga za 2015!
anataka ku capture attention ya vijana sio??[/QUOTE
Hahaha you are right about that!
Ni aibu kwa Mh. Sumaye kuuchapa usingizi msibani (Msiba wa Mama Charles Kimei).
![]()
Sioni kosa la Sumaye, ukishafika miaka 60 haijalishi ulikuwa nani, kuna wakati unasinzia. Hujawahi kukaa na wazee we mwana Izaya? Hapo kinachoangaliwa ni umri, kama ingekuwa kijana basi hoja hii ingekuwa na maana zaidi.
Ona huyo wa tatu kutoka kushoto kama kazeeka sana ana mvi nyingi lakini hajalala, inaonyesha kama ana mazoezi eeh.
Ni aibu kwa Mh. Sumaye kuuchapa usingizi msibani (Msiba wa Mama Charles Kimei).
![]()
Ni aibu kwa Mh. Sumaye kuuchapa usingizi msibani (Msiba wa Mama Charles Kimei).
![]()
Alifiwa na mama yake mzazi.Huu nao umetokea lini tena? Au ni Kimei mwingine siyo yule tunayemjua wote? Poleni sana wafiwa!