...inawezekana ni uchovu na mawazo juu ya mambo mbali mbali yanayomsibu ....huyu jamaa nakunywa pombe gani...maana kuna pombe zingine hasa za mchana lazima zikupe usingizi
Atakuwa na ukereketwa kweli, kutafakari mambo ya nchi msibani but alipokuwa madarakani naona hakuwa na huo muda wa kutafakari about EPA....teh..teh..teh
Hakuna kitu inanipa starehe kama usingizi, ukitaka kuamini mtu aje kukuamsha mida ya saa kumi au saa 11 kama uko na hela utampa kisha kutakapokucha unaanza kunipigia miayo huku ukijilaani.