PreGE2025 Waziri mkuu Majaliwa: "Serikali Yatumia Trilioni 1.49 Kununua Ndege 7 Katika Kipindi cha 2020–2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha Novemba, 2020 hadi Februari, 2025, Serikali ilitumia shilingi trilioni 1.49 kununua ndege saba ambapo ndege sita ni za abiria na ndege moja ni ya mizigo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema ununuzi wa ndege hizo umelifanya Shirika kuwa na jumla ya ndege 16 ambazo zimeimarisha na kuongeza safari za ndege za ndani na nje ya nchi
 
Majaliwa anafaa kwenye nchi za kisosholisti zenye porojo ya mafanikio hewa.
 
Back
Top Bottom