hopetumaini
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 528
- 316
HUWA HADI LEO NATATIZIKA SANA:Hasa bunge la bajeti halina sababu ya kuwepo. Hela zake zipelekwe kwenye ununuzi wa bombadia. Tumuachie raisi maamuzi yote. Akiamua kununua ndege nyingi ili kusaidia watalii wengi kuja, ruksa. Haina sababu ya Wabunge kujadili na kupitisha hii! Akiamua kuwapa Mhimili wa mahakama mabilioni au akiamua kuwapa magereza mabilioni naona aachwe aamue kwa utashi wake na sio kutumia mabilioni kwa wabunge kama posho na kujadili mambo kama hayo! Maamuzi ya raisi yanatosha!
Rais anafanya anavyoona sawa kwenye kichwa chake bajeti ambayo bunge lilitakiwa kukaa na kuipitisha rais yeye ndio mwamuzi kama vile anaamua maamuzi ya familia yake hakuna kitu kinachoniuma mpaka leo kama kuchukua pesa za waathirika wa bukoba na kuzitia mfukoni ili azitumie kwa matakwa yake sio waliochanga hizo pesa wakati watu wanalala njeHUWA HADI LEO NATATIZIKA SANA:
Pesa za kununulia ndege
Pesa za kuhamia Dodoma
Pesa alizowapa Magereza
ZILITENGWA na Bunge la mwaka gani?Rais kapata wapi mabilion haya?
kwa sasa rais wetu ndo katiba, sheria, kanuni na taratibu zote.Rais anafanya anavyoona sawa kwenye kichwa chake bajeti ambayo bunge lilitakiwa kukaa na kuipitisha rais yeye ndio mwamuzi kama vile anaamua maamuzi ya familia yake hakuna kitu kinachoniuma mpaka leo kama kuchukua pesa za waathirika wa bukoba na kuzitia mfukoni ili azitumie kwa matakwa yake sio waliochanga hizo pesa wakati watu wanalala nje
kumbuka pia pm naye ni mbunge hivo ni mnufaika wa posho hizo.Uwezo wa kufuta posho za wabunge hawana. Maana itakuwa kwa mara ya kwanza wabunge CCM kukataa muswada wa mabadiliko ya sheria. Uwezo huo hana
kwenye posho wabunge huweka tofauti zao pembeni. haa haa..Hapa ndo mahali pekee wabunge huwa wanaungana kutetea maslahi yao, wanafiki sana hawa watu!!