Waziri mkuu Majaliwa alivyofuturisha wabunge kwenye viwanja vya bunge

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,692
2,000
Majaliwa1.jpg
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Balozi wa Morocco nchini, Mheshimiwa Abdelilah Benrwayane katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Juni 8, 2017.

Majaliwa2.jpg
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge, Azan Mussa Zungu (kulia kwake), Mbunge wa Mbarali, Haroon Mulla Pirmohamed (wapili kushoto) na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa, Valentino Mlowola katika futari iliyoandaliwa wa Waziri Mkuul Kassim Majaliwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017

Majaliwa3.jpg

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Nsimbo, Mhandisi Richard Mbogo baada kufuturisha kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 8, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Kwa Hisani ya Michuzijr

 

mzushi

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,869
2,000
This world it's not fair at all wakati Kibiti wanawindwa kama kama Ngedele wenye Nchi wanaendelea kuteketeza kodi zao kwa mahanjumati
 

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,589
2,000
Hivi hii nayo ni habari? Tanzania tunashangiria kila kitu kwa kweli.kufuturisha kwani ni ajabu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom