Waziri mkuu Majaliwa alivyofuturisha wabunge kwenye viwanja vya bunge

Kazi za bunge ni kutunga sheria pamoja na kuisimamia serikali. Kazi ya bunge sio kupambana na wahalifu...
Jitahidi kufikiria kuliko kuassume. Nani asiyejua bunge linatunga sheria? Bunge linaweza kuitisha kikao cha dharura kuzungumzia swala la Kibiti sio waanze kuchukua silaha waende wakapambane na wahalifu. Read between the lines sio ku conclude kabla hujaelewa andiko.
 
Back
Top Bottom