Waziri mkuu kwenye ziara.!!

Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
Ilibidi akamatwe na polisi kwa kuvunja sheria ya usalama majini.
 
Watanzania tunapoteza kumbukumbu Sana.

Sijui tuna tatizo gani haswaaaaaaaa
 
Body guard anajua nin anafanya musidhan kakaa tu pale.... uyo body guard ni multi task anacheza nyanja zoote... majini mpaka hangani.... musiwe na shaka na tusikosoe saaana km sie ndo kila kitu
Hangani =Angani
Shule za kata sijui kuna nini huko [emoji23]
 
Inabidi wakawatembelee nawavuvi katikati ya maji waone shuguli zao
 
Hapa kazi Tu

Mungu awabariki sana mashujaa wetu wa awamu ya Tano.

Wenye roho za korosho chadema mioyo inawauma kweli kweli
 
H
Ziara ni sawa sana.
ISIPOKUWA usalama wa PM usiwe compromised AT ALL kwa kumwingiza mtumbwini BILA LIFE JACKET shingoni ili kufanya PHOTO SESSION.
Hilo ni KUHATARISHA maisha yake.
Na halina majadiliano!
Hatari zaidi hata ya ndoto ya Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…