Waziri mkuu kwenye ziara.!!

Body guard anajua nin anafanya musidhan kakaa tu pale.... uyo body guard ni multi task anacheza nyanja zoote... majini mpaka hangani.... musiwe na shaka na tusikosoe saaana km sie ndo kila kitu
 
Nchi hii yaani kiongozi anavuka mto bila tahadhari ya maboya kujinga.
 
Ilikuwa umbali gani na salama kwa kiwango gani? Kulikuwa na dharura yoyote?
Kina cha maji si kirefu fimbo ya captain inagusa chini hawakutaka kuvua viatu na kukunja suruali tu
 
Hao mabody guard wake hawakuliona hili kweli, maana nao hawakuwa na wasiwasi kabisa!
Kama ni nchi zilizoendelea. Mkuu wa usalama wa PM (VIP Protection Unit)angejibu maswali.
Maana hili halikubaliki kabisa!
Ni UZEMBE!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…