Waziri Mkuu ataka kuunganishwa kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) na Shirika la Viwango nchini(TBS)

Kuna tija kwa mtazamo wa kisiasa ila si kwa weledi wa kitaaluma hivyo agizo hilo litakuwa kosa kubwa kutendwa na serikali ya awamu ya 5;
TFDA ni wataalamu wa masuala ya Afya (Madaktari, Wakemia, Mabwana afya n.k) na hasa Ubora ktk bidhaa/vitu vinavyoliwa ama kumezwa (Vyakula/dawa) vinavyozalishwa nchini ama vinavyoingizwa toka nje ya nchi;
TBS ni wataalamu wa Ubora wa vifaa/vitu (hasa Mainjinia, Wakemia n.k) k.m Mashine, Vipuri, Vifaa vya ujenzi (mabati, nondo, saruji, lami n.k) vinavyozalishwa nchini na vile viagizwa toka nje;
Kwa hiyo huwezi ukaunganisha taasisi hizo japo kwa kiasi fulani (chini ya 20%) wanahusiana kiutendaji ingekuwa busara taasisi hizo zikiungana kimfumo (si kiutendaji) na wengine km TRA n.k!
 
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirikia la Viwango Tanzania (TBS) kuacha urasimu huku akimtaka Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na Waziri wa Viwanda na Biashara Joseph Kakunda kuandaa muswada wa kuunganisha taasisi hizo na kuwasilisha bungeni ili sheria zake zifanyiwe mapitio upya.

Majaliwa aliyasema hayo juzi katika kikao chake na wafanyabiashara wa kati na wadogo uliofanyika kwenye ukumbi wa Anatoglo ambapo alionyesha kukasirishwa na urasimu wa taasisi hizo mbili na kuagiza pia wakurugenzi wa taasisi hizo kufanya mapitio ya utendaji wa watumishi wao. Alisema mamlaka hizo zikiunganishwa zitaweza kuondoa malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilalamikia kuwepo kwa tozo nyingi na urasimu unaosababisha taifa kupoteza makundi makubwa ya wafanyabiashara na wateja.

“Sheria za TBS na TFDA zote zinafanana, ni maneno tu mnacheza nayo huku ubora, sijui viwango, vikiwa na viwango lazima vitakuwa bora, urasimu tu ndio uliokithiri TBS na TFDA, mizigo inakuja bandarini inakaa miezi miwili mitatu mnajifanya mnapima, mnapima nini?”alihoji Majaliwa. Aliongeza kuwa ukimwi wenyewe siku hizi unapimwa kwa dakika tano unapewa majibu yako na kuongeza kuwa typhoid unapima leo, kesho mtu anatakiwa kupewa majibu lakini akahoji kwa nini wao wanachukua siku 20.

“Kama mashine zenu mbovu kwa nini msiagize mashine nyingine nje, Mkemia mkuu yupo kwa nini msiende kupima huko, mnakaa na bidhaa za watu muda mrefu mpaka zinaoza ndio maana wakati mwingine TRA wanaruhusu mizigo itoke mnakuja baadae kusema bidhaa haina viwango… mawaziri wa wizara zote kaeni na taasisi zenu mbadilike, kama mashine yenu inachukua miaka mitano kutoa majibu basi nunueni zenye ubora, nimesikia TBS wanapima mpaka stuli za kukalia, hivi stuli unapima nini? “alihoji.

Waziri Majaliwa alizitaka taasisi hizo zitoe mwongozo kama kwenye soko bidhaa za thamani za ndani zinazotakiwa sio kusumbua wafanyabiashara. “TBS mnapima mpaka shati, nadhani kuna haja ya kufanya mapitio taasisi hii, kuna mtu mmoja alikuja ofisini kwangu kanunua vifaa vyake China vya ujenzi vya nyumbani madirisha, milango na masinki ya vyoo, kalipia kila kitu vimefika bandarini TBS imezuia miezi minne eti mwisho mnasema vipo chini ya kiwango, kila kitu kikitoka Italia wananchi wa Magomeni Mapipa watawaweza kumudu gharama?” aliuliza.

Majaliwa pia aliwataka wafanyabiashara wasikubali kutoa rushwa kwa chombo chochote na kuwataka watendaji kuacha lugha za dharau kwa wananchi na kuzitaka taasisi zote zinazohusika na masuala ya Bandari, TRA, TBS na TFDA kukaa jengo moja kuwaepusha wananchi na usumbufu wa nenda rudi.

“Bandarini kuna jengo moja kubwa sana pale limekaa kama meli, kuna vyumba vipo tupu, taasisi zote zinazousika zikae pale mtu akienda kulipia mizigo yake anamaliza kila kitu pale sio kupiga makitaimu mara bandarini, Ubungo achene urasimu, na nyie wananchi, rushwa si sehemu ya mkakati wa serikali, hivyo vita dhidi ya rushwa lazima iendelezwe na watu wote. Mafanikio tuliyoyapata ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa huduma za afya, maji na barabara ni matokeo ya kupiga vita rushwa,” alisema.

Majaliwa aliwataka pia watumishi kuacha kukaa ofisini na badala yake wajenge tabia ya tabia ya kuwatembelea wafanyabiashara kwenye maeneo yao na kusikiliza kero zinazowakabili na kushirikiana nao ili kutafuta ufumbuzi.

“Kila mtendaji katika eneo lake atekeleze majukumu yake kikamilifu urasimu, dharau, lugha za ajabu zimeshamiri kwenye maeneo ya kutolea huduma jambo ambalo si sahihi. Badilikeni,” alisema. Alisema serikali imepanga mpango wa kulibadilisha utaratibu wa kufanya biashara katika eneo la Kariakoo ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa saa 24 kama yalivyo masoko makubwa duniani.

Waziri Mkuu alisema lengo la mabadiliko hayo ni kukuza uchumi wa taifa na wa wafanyabiashara kwa ujumla. “Nchi yetu ina usalama na ulinzi wa kutosha hivyo hatuwezi kushindwa kufanya biasahara wakati wote.”

Katika mkutano huo aliouitisha kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hao, Waziri Mkuu alisema atakutana na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam ili kupanga namna ya kutekeleza utaratibu huo. Alisema jiji la Dar es Salaam moyo wa kitivo cha kibiashara nchini, hivyo serikali itahakikisha mwenendo wa biashara unaboreshwa pamoja na kutoa fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara zao wakati wote na bila usumbufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Illogical kabisa..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Majaliwa acha siasa katika vyombo hivi vina majukumu mhimu ya kutulinda wanananchi. Waondoleeni kero zinazowalazimisha kutafuta fedha kama wafanya biashara. Wote tunajua madhara ya bidhaa dhaifu. Je unataka twende huko kweli ambako hatimaye gharama zake ni kubwa mno!
Ningekuwa serikali,ningekutafuta wewe na kukufanyia uchunguzi wa kina.
Haiyumkini wewe ni mmoja wa maafisa wa vyombo vinavyotajwa hapo.Na ninaona uwezekano wa wewe kifaidi mfumo huu wa urasimu.
Ningeagiza uchunguzwe hadi matumizi yako ya simu kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii issue ya TBS na TFDA isipoangaliwa mapema tutapata matatizo makubwa sana ya kiuchumi kama taifa, nafikiri serikali isikurupuke katika hili, TBS itaendelea kuwa taasisi muhimu kabisa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda hapa nchini na hii ni mojawapo ya kazi za national bureua of standards za taifa lolote lile duniani
 
Kuna tija kwa mtazamo wa kisiasa ila si kwa weledi wa kitaaluma hivyo agizo hilo litakuwa kosa kubwa kutendwa na serikali ya awamu ya 5;
TFDA ni wataalamu wa masuala ya Afya (Madaktari, Wakemia, Mabwana afya n.k) na hasa Ubora ktk bidhaa/vitu vinavyoliwa ama kumezwa (Vyakula/dawa) vinavyozalishwa nchini ama vinavyoingizwa toka nje ya nchi;
TBS ni wataalamu wa Ubora wa vifaa/vitu (hasa Mainjinia, Wakemia n.k) k.m Mashine, Vipuri, Vifaa vya ujenzi (mabati, nondo, saruji, lami n.k) vinavyozalishwa nchini na vile viagizwa toka nje;
Kwa hiyo huwezi ukaunganisha taasisi hizo japo kwa kiasi fulani (chini ya 20%) wanahusiana kiutendaji ingekuwa busara taasisi hizo zikiungana kimfumo (si kiutendaji) na wengine km TRA n.k!

Mkuu uko vizuri kinadharia.

Ungekuwa vyema sana kama ungekuwa ki tija zaidi. Mfano hawa wa vitu na vyakula kwa vinavyotoka nje, wahusike navyo huko vinavyotoka. Si madukani wala kwa mlaji wa mwisho hali wao na ma title makubwa makubwa walikuwa wamelala maofisini.

Vitu toka nje kwa mlaji wa mwisho ni kuonyesha jinsi gani mamlaka hizi zimekuwa ni mzigo tu kwa wananchi.
 
Hujui chochote, nimefanya filed nikiwa chuo kwenye taasisi zote mbili kwenye idara ya chakula....

Sijawahi ona tofauti za hizo taasisi zaidi ya urasimu tu

mkuu si unaifahamu value chain ya chakula
 
Ningekuwa serikali,ningekutafuta wewe na kukufanyia uchunguzi wa kina.
Haiyumkini wewe ni mmoja wa maafisa wa vyombo vinavyotajwa hapo.Na ninaona uwezekano wa wewe kifaidi mfumo huu wa urasimu.
Ningeagiza uchunguzwe hadi matumizi yako ya simu kwa mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana wewe si serikali. Serikali iliyo makini haiwezi kufanya hayo unayoyasema. Yaonyesha wewe ni mtu wa visasi na kwamba unataka unayoyasema ndiyo yawe. Na kwamba anayeyapinga anastaili adhabu!
 
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirikia la Viwango Tanzania (TBS) kuacha urasimu huku akimtaka Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na Waziri wa Viwanda na Biashara Joseph Kakunda kuandaa muswada wa kuunganisha taasisi hizo na kuwasilisha bungeni ili sheria zake zifanyiwe mapitio upya.

Majaliwa aliyasema hayo juzi katika kikao chake na wafanyabiashara wa kati na wadogo uliofanyika kwenye ukumbi wa Anatoglo ambapo alionyesha kukasirishwa na urasimu wa taasisi hizo mbili na kuagiza pia wakurugenzi wa taasisi hizo kufanya mapitio ya utendaji wa watumishi wao. Alisema mamlaka hizo zikiunganishwa zitaweza kuondoa malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilalamikia kuwepo kwa tozo nyingi na urasimu unaosababisha taifa kupoteza makundi makubwa ya wafanyabiashara na wateja.

“Sheria za TBS na TFDA zote zinafanana, ni maneno tu mnacheza nayo huku ubora, sijui viwango, vikiwa na viwango lazima vitakuwa bora, urasimu tu ndio uliokithiri TBS na TFDA, mizigo inakuja bandarini inakaa miezi miwili mitatu mnajifanya mnapima, mnapima nini?”alihoji Majaliwa. Aliongeza kuwa ukimwi wenyewe siku hizi unapimwa kwa dakika tano unapewa majibu yako na kuongeza kuwa typhoid unapima leo, kesho mtu anatakiwa kupewa majibu lakini akahoji kwa nini wao wanachukua siku 20.

“Kama mashine zenu mbovu kwa nini msiagize mashine nyingine nje, Mkemia mkuu yupo kwa nini msiende kupima huko, mnakaa na bidhaa za watu muda mrefu mpaka zinaoza ndio maana wakati mwingine TRA wanaruhusu mizigo itoke mnakuja baadae kusema bidhaa haina viwango… mawaziri wa wizara zote kaeni na taasisi zenu mbadilike, kama mashine yenu inachukua miaka mitano kutoa majibu basi nunueni zenye ubora, nimesikia TBS wanapima mpaka stuli za kukalia, hivi stuli unapima nini? “alihoji.

Waziri Majaliwa alizitaka taasisi hizo zitoe mwongozo kama kwenye soko bidhaa za thamani za ndani zinazotakiwa sio kusumbua wafanyabiashara. “TBS mnapima mpaka shati, nadhani kuna haja ya kufanya mapitio taasisi hii, kuna mtu mmoja alikuja ofisini kwangu kanunua vifaa vyake China vya ujenzi vya nyumbani madirisha, milango na masinki ya vyoo, kalipia kila kitu vimefika bandarini TBS imezuia miezi minne eti mwisho mnasema vipo chini ya kiwango, kila kitu kikitoka Italia wananchi wa Magomeni Mapipa watawaweza kumudu gharama?” aliuliza.

Majaliwa pia aliwataka wafanyabiashara wasikubali kutoa rushwa kwa chombo chochote na kuwataka watendaji kuacha lugha za dharau kwa wananchi na kuzitaka taasisi zote zinazohusika na masuala ya Bandari, TRA, TBS na TFDA kukaa jengo moja kuwaepusha wananchi na usumbufu wa nenda rudi.

“Bandarini kuna jengo moja kubwa sana pale limekaa kama meli, kuna vyumba vipo tupu, taasisi zote zinazousika zikae pale mtu akienda kulipia mizigo yake anamaliza kila kitu pale sio kupiga makitaimu mara bandarini, Ubungo achene urasimu, na nyie wananchi, rushwa si sehemu ya mkakati wa serikali, hivyo vita dhidi ya rushwa lazima iendelezwe na watu wote. Mafanikio tuliyoyapata ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa huduma za afya, maji na barabara ni matokeo ya kupiga vita rushwa,” alisema.

Majaliwa aliwataka pia watumishi kuacha kukaa ofisini na badala yake wajenge tabia ya tabia ya kuwatembelea wafanyabiashara kwenye maeneo yao na kusikiliza kero zinazowakabili na kushirikiana nao ili kutafuta ufumbuzi.

“Kila mtendaji katika eneo lake atekeleze majukumu yake kikamilifu urasimu, dharau, lugha za ajabu zimeshamiri kwenye maeneo ya kutolea huduma jambo ambalo si sahihi. Badilikeni,” alisema. Alisema serikali imepanga mpango wa kulibadilisha utaratibu wa kufanya biashara katika eneo la Kariakoo ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa saa 24 kama yalivyo masoko makubwa duniani.

Waziri Mkuu alisema lengo la mabadiliko hayo ni kukuza uchumi wa taifa na wa wafanyabiashara kwa ujumla. “Nchi yetu ina usalama na ulinzi wa kutosha hivyo hatuwezi kushindwa kufanya biasahara wakati wote.”

Katika mkutano huo aliouitisha kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hao, Waziri Mkuu alisema atakutana na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam ili kupanga namna ya kutekeleza utaratibu huo. Alisema jiji la Dar es Salaam moyo wa kitivo cha kibiashara nchini, hivyo serikali itahakikisha mwenendo wa biashara unaboreshwa pamoja na kutoa fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara zao wakati wote na bila usumbufu.

Sent using Jamii Forums mobile app

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirikia la Viwango Tanzania (TBS) kuacha urasimu huku akimtaka Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu na Waziri wa Viwanda na Biashara Joseph Kakunda kuandaa muswada wa kuunganisha taasisi hizo na kuwasilisha bungeni ili sheria zake zifanyiwe mapitio upya.

Majaliwa aliyasema hayo juzi katika kikao chake na wafanyabiashara wa kati na wadogo uliofanyika kwenye ukumbi wa Anatoglo ambapo alionyesha kukasirishwa na urasimu wa taasisi hizo mbili na kuagiza pia wakurugenzi wa taasisi hizo kufanya mapitio ya utendaji wa watumishi wao. Alisema mamlaka hizo zikiunganishwa zitaweza kuondoa malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilalamikia kuwepo kwa tozo nyingi na urasimu unaosababisha taifa kupoteza makundi makubwa ya wafanyabiashara na wateja.

“Sheria za TBS na TFDA zote zinafanana, ni maneno tu mnacheza nayo huku ubora, sijui viwango, vikiwa na viwango lazima vitakuwa bora, urasimu tu ndio uliokithiri TBS na TFDA, mizigo inakuja bandarini inakaa miezi miwili mitatu mnajifanya mnapima, mnapima nini?”alihoji Majaliwa. Aliongeza kuwa ukimwi wenyewe siku hizi unapimwa kwa dakika tano unapewa majibu yako na kuongeza kuwa typhoid unapima leo, kesho mtu anatakiwa kupewa majibu lakini akahoji kwa nini wao wanachukua siku 20.

“Kama mashine zenu mbovu kwa nini msiagize mashine nyingine nje, Mkemia mkuu yupo kwa nini msiende kupima huko, mnakaa na bidhaa za watu muda mrefu mpaka zinaoza ndio maana wakati mwingine TRA wanaruhusu mizigo itoke mnakuja baadae kusema bidhaa haina viwango… mawaziri wa wizara zote kaeni na taasisi zenu mbadilike, kama mashine yenu inachukua miaka mitano kutoa majibu basi nunueni zenye ubora, nimesikia TBS wanapima mpaka stuli za kukalia, hivi stuli unapima nini? “alihoji.

Waziri Majaliwa alizitaka taasisi hizo zitoe mwongozo kama kwenye soko bidhaa za thamani za ndani zinazotakiwa sio kusumbua wafanyabiashara. “TBS mnapima mpaka shati, nadhani kuna haja ya kufanya mapitio taasisi hii, kuna mtu mmoja alikuja ofisini kwangu kanunua vifaa vyake China vya ujenzi vya nyumbani madirisha, milango na masinki ya vyoo, kalipia kila kitu vimefika bandarini TBS imezuia miezi minne eti mwisho mnasema vipo chini ya kiwango, kila kitu kikitoka Italia wananchi wa Magomeni Mapipa watawaweza kumudu gharama?” aliuliza.

Majaliwa pia aliwataka wafanyabiashara wasikubali kutoa rushwa kwa chombo chochote na kuwataka watendaji kuacha lugha za dharau kwa wananchi na kuzitaka taasisi zote zinazohusika na masuala ya Bandari, TRA, TBS na TFDA kukaa jengo moja kuwaepusha wananchi na usumbufu wa nenda rudi.

“Bandarini kuna jengo moja kubwa sana pale limekaa kama meli, kuna vyumba vipo tupu, taasisi zote zinazousika zikae pale mtu akienda kulipia mizigo yake anamaliza kila kitu pale sio kupiga makitaimu mara bandarini, Ubungo achene urasimu, na nyie wananchi, rushwa si sehemu ya mkakati wa serikali, hivyo vita dhidi ya rushwa lazima iendelezwe na watu wote. Mafanikio tuliyoyapata ikiwa ni pamoja na kuimarika kwa huduma za afya, maji na barabara ni matokeo ya kupiga vita rushwa,” alisema.

Majaliwa aliwataka pia watumishi kuacha kukaa ofisini na badala yake wajenge tabia ya tabia ya kuwatembelea wafanyabiashara kwenye maeneo yao na kusikiliza kero zinazowakabili na kushirikiana nao ili kutafuta ufumbuzi.

“Kila mtendaji katika eneo lake atekeleze majukumu yake kikamilifu urasimu, dharau, lugha za ajabu zimeshamiri kwenye maeneo ya kutolea huduma jambo ambalo si sahihi. Badilikeni,” alisema. Alisema serikali imepanga mpango wa kulibadilisha utaratibu wa kufanya biashara katika eneo la Kariakoo ili kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwa saa 24 kama yalivyo masoko makubwa duniani.

Waziri Mkuu alisema lengo la mabadiliko hayo ni kukuza uchumi wa taifa na wa wafanyabiashara kwa ujumla. “Nchi yetu ina usalama na ulinzi wa kutosha hivyo hatuwezi kushindwa kufanya biasahara wakati wote.”

Katika mkutano huo aliouitisha kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hao, Waziri Mkuu alisema atakutana na viongozi wa mkoa wa Dar es Salaam ili kupanga namna ya kutekeleza utaratibu huo. Alisema jiji la Dar es Salaam moyo wa kitivo cha kibiashara nchini, hivyo serikali itahakikisha mwenendo wa biashara unaboreshwa pamoja na kutoa fursa kwa wafanyabiashara kufanya biashara zao wakati wote na bila usumbufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaona kuna kukurupuka kwenye suala la mgongano kati ya TBS na TFDA. Na kama kaqaida PM-hajakuwa advised vizuri.

Anapowaagiza Mawaziri 5 wakaunganishe mashirika mawili ya umma anakosea. Alipaswa awaagize wakatafute kiini cha mgogoro then waje na suluhisho.

Mgongano hauko kwenye dawa au vifaa tiba bali uko kwenye bidhaa za chakula. TBS hawahusiki kwa chochote linapokuja suala la dawa na vifaa tiba.

Suluhuhisho la TFDA na TBS haliko kwenye kuziunganisha bali ziko kwenye kuziondoa bidhaa ambazo zilipelekwa TBS 20 years ago wakati TFDA ilikuwa haina capacity ya kuzi-manage. TFDA iliundwa kwa kuunganisha Tume ya Kudhibiti Chakula na Pharmacy Board mwaka 2002/2003. Wakati huo TFDA ilikuwa na mabingwa wa dawa tu, hivyo shughuli za chakula wakaiomba TFDA iwasaidie kwa wakati ule. Bidhaa hizo zinafahamika ni bidhaa za chakula. TBS azikabidhi tu kwa TFDA zinakostahili ambazo Sheria ya TFDA na 21 ya mwaka 2003 imezielezea vizuri. Yeye TBS aendelee na mambo ya kuweka viwango tu kwa mujibu wa Sheria yake ya mwaka 1975 na marekebisho ya 2009.

Kilichotokea ni sawa na mtu anasafiri anakuomba aegeshe gari yake for security reasons. Then anarudi analitaka na wewe unakataa kumkabidhi. TFDA shughuli zake ni Kudhibiti na kusajili bidhaa zote za chakula, dawa na vipodozi. Kwa hiyo unapoleta nchini bidhaa yeyote ya namna hiyo lazima waikague wajiridhishe na ubora na usalama kabla ya kuwafikia walaji.

TBS kazi yao ni kuweka viwango na kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa nchini zinakidhi viwango vyao. Lakini vyakula, dawa na vipodozi haviwahusu kwa vile vina Sheria yake tofauti ambayo ni pana na imejikita kwenye masilahi ya afya ya binadamu.

Wakiondoa tu uwekaji na wa viwango vya vyakula kama nilivyoliweka pale juu basi hakutakuwa na dublication au conflict ya hizi taasisi mbili.
Best practice duniani kila nchi in a institution ambayo iko responsible na Standards na kuna global umbrella body inaitwa ISO (International Organization for Standardization).

Kwenye dawa na chakula nako best practice za WHO inataka nchi ziwe na National Drug Regulatory Agencie (NDRA).
 
Ni jambo jema kuziweka hivi taasisi TRA, TFDA, TBS kwenye jengo moja. Itasaidia sana kupunguza urasimu, Rushwa, uchelewashaji, huduma mbovu.

Serikali pia inaweza kutengeneza accounts kama za watu binafsi, wafanyabiashara ikawa inaagiza vitu kila mwezi ili kugundua wapi bado kuna tatizo, wapi rushwa bado imekithiri, utendaji mbovu, ucheweshaji.

Kuhusu kuunganisha TBS na TFDA hii issue inabidi iangaliwe kwa umakini sana.

Ijadiliwe kwa kina sana na bunge kabla ya kutelezwa. Tuwe na uhakika ubora, viwango havitashuka chini bali vitapanda juu.

Muhimu sana kuwa na mamlaka yenye uwezo, vifaa, wataalamu wa kutosha waliobobea kudhibiti ubora na viwango vya chakula, dawa, vipodozi vinavyotengenezwa nchini au kuagizwa nje.

Bila TFDA imara tunaweza kulishwa sumu wananchi wote, wafanyabiashara wengine pesa ni kila kitu, hawajali kivile afya za binadamu. Muhimu wajiwekee malengo, vitu vikaguliwe kwa muda unaotakiwa (wiki moja, mbili, wakichelewa kabisa wiki tatu).

Wakichelewa zaidi ya hapo mfanyabiashara, mwagizaji asiendelee kulipishwa gharama bandarini wakati tatizo sio lake.
 
Ninaona kuna kukurupuka kwenye suala la mgongano kati ya TBS na TFDA. Na kama kaqaida PM-hajakuwa advised vizuri.
Anapowaagiza Mawaziri 5 wakaunganishe mashirika mawili ya umma anakosea. Alipaswa awaagize wakatafute kiini cha mgogoro then waje na suluhisho.
Mgongano hauko kwenye dawa au vifaa tiba bali uko kwenye bidhaa za chakula. TBS hawahusiki kwa chochote linapokuja suala la dawa na vifaa tiba.
Suluhuhisho la TFDA na TBS haliko kwenye kuziunganisha bali ziko kwenye kuziondoa bidhaa ambazo zilipelekwa TBS 20 years ago wakati TFDA ilikuwa haina capacity ya kuzi-manage. TFDA iliundwa kwa kuunganisha Tume ya Kudhibiti Chakula na Pharmacy Board mwaka 2002/2003. Wakati huo TFDA ilikuwa na mabingwa wa dawa tu, hivyo shughuli za chakula wakaiomba TFDA iwasaidie kwa wakati ule. Bidhaa hizo zinafahamika ni bidhaa za chakula. TBS azikabidhi tu kwa TFDA zinakostahili ambazo Sheria ya TFDA na 21 ya mwaka 2003 imezielezea vizuri. Yeye TBS aendelee na mambo ya kuweka viwango tu kwa mujibu wa Sheria yake ya mwaka 1975 na marekebisho ya 2009.
Kilichotokea ni sawa na mtu anasafiri anakuomba aegeshe gari yake for security reasons. Then anarudi analitaka na wewe unakataa kumkabidhi. TFDA shughuli zake ni Kudhibiti na kusajili bidhaa zote za chakula, dawa na vipodozi. Kwa hiyo unapoleta nchini bidhaa yeyote ya namna hiyo lazima waikague wajiridhishe na ubora na usalama kabla ya kuwafikia walaji.
TBS kazi yao ni kuweka viwango na kuhakikisha bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa nchini zinakidhi viwango vyao. Lakini vyakula, dawa na vipodozi haviwahusu kwa vile vina Sheria yake tofauti ambayo ni pana na imejikita kwenye masilahi ya afya ya binadamu.
Wakiondoa tu uwekaji na wa viwango vya vyakula kama nilivyoliweka pale juu basi hakutakuwa na dublication au conflict ya hizi taasisi mbili.
Best practice duniani kila nchi in a institution ambayo iko responsible na Standards na kuna global umbrella body inaitwa ISO (International Organization for Standardization).
Kwenye dawa na chakula nako best practice za WHO inataka nchi ziwe na National Drug Regulatory Agencie (NDRA).
 
Hujui chochote, nimefanya filed nikiwa chuo kwenye taasisi zote mbili kwenye idara ya chakula....

Sijawahi ona tofauti za hizo taasisi zaidi ya urasimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui chochote, nimefanya filed nikiwa chuo kwenye taasisi zote mbili kwenye idara ya chakula....

Sijawahi ona tofauti za hizo taasisi zaidi ya urasimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui chochote, nimefanya filed nikiwa chuo kwenye taasisi zote mbili kwenye idara ya chakula....

Sijawahi ona tofauti za hizo taasisi zaidi ya urasimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui chochote, nimefanya filed nikiwa chuo kwenye taasisi zote mbili kwenye idara ya chakula....

Sijawahi ona tofauti za hizo taasisi zaidi ya urasimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui chochote, nimefanya filed nikiwa chuo kwenye taasisi zote mbili kwenye idara ya chakula....

Sijawahi ona tofauti za hizo taasisi zaidi ya urasimu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujawahi kufanya field TFDA kama ulifanya labda kwenye kazi za ufagizi. TFDA ni moja ya Taasisi zilizotengenezwa kwa misingi madhubuti na watangulizi hadi kujipatia sifa za kuwa moja ya Taasisi bora za usajili na usimamizi wa dawa katika bara la Africa. Muulizeni Dr Mbwasi (PHD) yuko pale St John's University au Pharmacist Ndomondo Sigonda yuko SADC, Hao ndiyo walioweka misingi bora ya TFDA.
 
Bado kuna taasisi ambazo ingefaa kuunganishwa ili kuoinguza gharama. Kwa mfano Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Baraza la Taifa la Uwezeshaji (NEEC). HIVYO Uwekezaji na Uwezeshaji ungeunganishwa tu kwa kuwa taasisi zote mbili ziko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. HIVYO wangeweka kuwa na Taasisi ya Uwekezaji na Uwezeshaji Tanzania ambapo itakuwa na section kubwa mbili za Uwekezaji na Uwezeshaji. Tuepuka kuwa na taasisi nyingi ndogondogo ambazo zimaweza kuunganisha ili kupungua gharama za kimemejimenti.
 
TFDA ni wataalamu wa masuala ya Afya (Madaktari, Wakemia, Mabwana afya n.k) na hasa Ubora ktk bidhaa/vitu vinavyoliwa ama kumezwa (Vyakula/dawa) vinavyozalishwa nchini ama vinavyoingizwa toka nje ya nchi;
TBS ni wataalamu wa Ubora wa vifaa/vitu (hasa Mainjinia, Wakemia n.k) k.m Mashine, Vipuri, Vifaa vya ujenzi (mabati, nondo, saruji, lami n.k) vinavyozalishwa nchini na vile viagizwa toka nje;
KWA TAARIFA TU TBS INA WATAALAMU WENGI NA WAZOEFU WA CHAKULA KULIKO TAASISI YOYOTE HAPA NCHINI, PIA USISAHAU TBS INA MITAMBO MINGI YA KISASA KWAAJILI YA KUHAKIKI UBORA NA USALAMA WA CHAKULA KUPITIA NEMBO YAKE YA UBORA (TBS MARK OF QUALITY). TBS IMEEANZA KAZI YA UHAKIKI WA CHAKULA TANGU MWAKA 1975! IWEJE TFDA ILIYOANZISHWA MWAKA 2009 IWE BORA KULIKO TBS?
 
Back
Top Bottom