Waziri Mkuu apiga kikombe Samunge

mkisikia babu anauza hisa mnipm sababu kuna ka harusu ka kikombe sehemu ya 2
 
hii serikali ya ccm bado tu haijapata fundisho kwa hawa waganga wa kienyeji ?
 
Kwahiyo akili za Viongozi wetu za utatuzi wa matatizo ya Watanzania ndio kusema kwamba zimeishia kwa babu wa Samunge na Wapiga ramli wa Nchi hii,Hawawezi kufikiri zaidi ya hapo tena!!!??Si ajabu majanga Tanzania hayaishi kwasababu watu wamemuasi Mungu na wamezisaliti akili zao.
 
Kwa hiyo CCM mmeona suala la katiba gumu sasa mnataka kuturudisha kwenye sinema ya KIKOMBE part 2!?
Kuweni wazalendo jamani katiba ni yetu sote!
ACHENI UBINAFSI!
 
Hivi kweli pamoja na udhaifu katika uongozi walionao wakuu wetu bado wanaweza kurudia kosa hili! Tunahitaji kutazama kwa makini inawezekana Babu ni psychiatric case na viongozi wetu wanajikuta wametumbukia kwenye mtego wake bila kujua hasa pale anapo-attach mambo yake na imani ya dini.
 
Further proof that our leaders are morally, mentally and physically ill.
 
Nimeishia kushangaa tu!!!! Hawa sio viongozi..Kweli serikali yetu unaweza kuiangamiza kwa cku moja
Tuchukulie mfano babu katumiwa na magaidi atege sumu..Inakuwaje hapo?
 
acha wanywe wagonjwa hao,inaweza saidia akafuta ile kauli wapigwe tu
 
Maendeleo ya loliondo hayawezi kuletwa na kikombe cha babu ila kwa kujenga barabara. Kikombe cha babu sasa ni ishara ya matumaini mema kwa loliondo
 
Na anayekunywa kikombe cha Babu ni mpuuzi tu haijalishi yeye ni nani na anamadaraka gani...mtanisamehe mliowahi kunywa!

Lakini cha ajabu Kikombe cha babu kilipata support kubwa ya kanisa na serikali!!!
 
babu noma aisee, walitangaza akitibu mbona wanakunywa jamani kweli viongozi wetu akili amuna,
 
CCM wakizidiwa na kubanwa kila kona wanaanzisha dili na ishu za kichawi na ulozi ili sote tufate mkumbo tusijadili tena katiba na zanzibar wakose sapoti ya bara katika katiba ..mwisho wa yote tunasema hatudanganyiki hata kwa pipi,nendeni mkirudi mtaikuta katiba iko palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…