Waziri mkuu aonya mashabiki. Arudisha matumizi ya tiketi za eletronic. Nape kutumbua majipu zaidi

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
1558454_1042499009147890_4789595540536912583_n.jpg
 
Majipu michezoni yapo mengi. TFF, TOC hayo ni majipu mawili ambayo yamechangia katika kuzorotesha michezo. Huo mfumo wa tiketi za kieletroniki utawaweza walio wengi kwenye soka, hakutakuwa na haja tena na zile hiace zinazopaki pale nje ya uwanja wa taifa. Soka haikui kwa sababu ya uzembe tu na sio sababu nyingine. TOC ni mali ya Filbert Bayi, fedha inayokuja kutoka kamati ya kimataifa ya olimpiki haijawahi kufanikisha upatikanaji wa wanariadha na wanamichezo wenye viwango vya kimataifa.
Yale yale yaliyowakuta watu bandarini, yanaweza kuanza kuwakumbuka wadau wengi wa karibu na TFF na TOC.
 
ayaaaaa serikal ikiingilia mambo ya michezo tutafungiwa na fifa
 
Back
Top Bottom