Waziri mkuu aliyewahi kuwa masikini

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,042
2,000
Kuna mwa jf ametoa rais masikini.vipi kuhusu waziri mkuu marehemu Edward Moringe Sokoine?
 

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,111
2,000
Kuna mwa jf ametoa rais masikini.vipi kuhusu waziri mkuu marehemu Edward Moringe Sokoine?
Rashid Mfaume Kawawa. Huyu (bolded) tuliambiwa alikuwa na wake wawili, mmoja wa kimila na mwingine kikristu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom