Waziri Mkuu aishangaa TANESCO

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Waziri mkulo aishangaa Tanesco baada ya kukomba mabilioni ya pesa kutoka Tanesco,wakati huo ashangaa makusanyo ya mapato kutoka kwa wateja wa Tanesco yanakwenda wapi?

inamaana hapa hakuna mawasiliano kati ya Tanesco na Waziri
na hata makusanyo ya mapato kutoka Tanesco hayaelewiki yanafanya kazi gani


sasa mbona wanatuchanganya hawa watu? mimi bado siwaelewi,yaani simwelewi Waziri hata hajui ni kiasi gani Tanesco wanapata ktk makusanyo yao na haelewi hayo makusanyo yanatumika ktk matumizi yapi,na ilikuwaje waziri aruhusu mabilioni kutoka Hazina yaende Tanesco wakati bado anashaka na matumizi yao?
 
Waziri mkuro aishangaa Tanesco baada ya kukomba mabilioni ya pesa kutoka Tanesco,wakati huo ashangaa makusanyo ya mapato kutoka kwa wateja wa Tanesco yanakwenda wapi?"


Mkuu rekebisha Heading yako! kwani haiendani na unaye mtaja ndani ya habari Waziri Mkulo siyo waziri mkuu
 
Hapa ni usanii mwingine.How are govt activities co-ordinated, seems there is no integration of inter-ministerial fucntions
 
Mimi namshangaa Mkullo mwenyewe anavyoweza kutoa fedha za umma kwa Tanesco bila ya kuweka utaratibu wa kuthibiti matumizi ya fedha hiyo; katika hali ya kawaida mtu angelitegemea kwamba baada ya awamu moja, fedha zisingetolewa kwenye awamu ya pili kabla ya zile za awamu ya kwanza kutolewa hesabu. Hivyo, kwa maoni yangu manunguniko hayo ya Mkullo ni ushahidi mwingine ya kuwa hastahiri kuwa msimamizi mkuu wa fesha za umma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom