Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,436
- 4,429
Duh....kaz ipo naona kaamua kuwakomalia....ole wao sasa ikiwa walidanganyaMuda huu katangaza hapa Arusha. Kaburi lifukuliwe, DNA ya masalia ya John ilinganishwe na ya pembe aliyooneshwa.
Chanzo: mimi mwenyewe
Muda huu katangaza hapa Arusha. Kaburi lifukuliwe, DNA ya masalia ya John ilinganishwe na ya pembe aliyooneshwa.
Chanzo: mimi mwenyewe
Utakuwa mtumishi wa shetani. Si bureHabari ya mjini kwa sasa ni Zika yeye bado kakomalia faru Jonh hatari
Mzee ww n reliable source kweli.......??? Wonders shall never endMuda huu katangaza hapa Arusha. Kaburi lifukuliwe, DNA ya masalia ya John ilinganishwe na ya pembe aliyooneshwa.
Chanzo: mimi mwenyewe
Mijitu mingine bana!wastage of time and energy
Now the issue is wether we have ZIKA in TZ or not
Asante mkuu,for the recordNa yale makaburi mengine pembeni ya mto vuru yasisahaulike
Kama hao jamaa waligawana na kula nyama ya faru john itakuwaje?Muda huu katangaza hapa Arusha. Kaburi lifukuliwe, DNA ya masalia ya John ilinganishwe na ya pembe aliyooneshwa.
Chanzo: mimi mwenyewe
How many times do you want to be told, wizara na shirika la afya duniani lilishatoa tamko hamna ZIKA, basi wapinzani mmepata cha kusemea mlikuakuwa hamna dogowastage of time and energy
Now the issue is wether we have ZIKA in TZ or not