Waziri Mhagama: Serikali haitakaa ifute Mwenge wa Uhuru

Waziri Mhagama: Serikali haitakaa ifute Mwenge wa Uhuru

Wafute wa nini sasa??
Binafsi naona watafute njia bora ya kikimbiza mwenge wa uhuru mfano, kutumia ata gari tatu za wanajeshi zinatosha kuzunguka nchi nzima. Upite katika centre kubwa za wilaya basi.
Ili ufanye kitu gani? Unasiadia nini? Dunia ya leo badala ya kujikita kwenye kuwekeza kwenye vitu vyenye tija kwa taifa bado unasapoti mwenge,?
 
Kwenye wabunge mizigo wa Chama cha mapinduzi huyu mama daaah ni zigo kweli
 
Sioni faida yoyote, zaidi naona watu hawana kazi wanakwenda mbio, kuhamasisha maendeo ni kazi sio ya serikali pekee, hata wanasiasa, sector za kiraia, na mwenge ni upotevu wa fedha za wananchi.

Binafsi mtoto wangu haendi shule za kiserikali kwa sababu nimejifunza huko, kuwekwa kwenye jua siku nzima wakati nipo primary school, eti tukisubiri mwenge.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amewasiliana na boss wake? ,maana wapo walio sema 25% haiwezi pungua tena. Kumbe hawakujua boss wao anawaza nn
 
Amewasiliana na boss wake? ,maana wapo walio sema 25% haiwezi pungua tena. Kumbe hawakujua boss wao anawaza nn
Huyo bosi wao msanii tu hupenda kutoa kafara wenzeo kwa manufaa yake kisiasa

2020 John Walker out
 
Back
Top Bottom