Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
waandishi wetu wapo bize na kambi za urais ndugu
Siyo hilo na WAPINZANI wako wapi tuwaandike kwa maovu.Hebu tuliangalie UHURU na Daily news,hili la kwanza ni gazeti la chama hata siku moja sijawahi kuona wameandika mabaya yanayoihusu serikali ,wameshindwa kabisa kuchanganua kuwa wao ni chama na kama gazeti la chama lingekuwa busy kuya andika maovu au mabaya yanayofanyika serikalini ili kuwapigia filimbi watendaji walioko ndani ya chama.
Ukiangalia DAILY news lenyewe ni gazeti la serikali lakini lipo busy kuandika habari za chama na kuacha habari za kitaifa.Mfano lingekuwa busy kutafuta reports zinazohusu IPTL ili kuistua serikali.