Nawasalimu kwa jina la Muungano wa Tanzania
Kuna kaka yangu anaishi Mlandege Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, amelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya umeme pamoja na nguzo yake, lakini cha ajabu tangia alipie sasa inafika mwaka na miezi kadhaa bado hajapatiwa huduma hiyo.
Huwa wanamtumiaga tu meseji za kuwa wiki hii tunakuja kukuwekea umeme lakini mpaka wiki inaisha haoni TANESCO wala Kishoka zaidi ya mara mbili au tatu huwa wanamtumiaga meseji za namna hiyo na namba ni za TANESCO
Kuna mda anaendaga ofisini kwao na wanamwambiga hivyo hivyo tu kuwa wiki hii tutakuja kukufungia umeme na hakuna kinachoendelea hadi sasa mwaka na miezi inakatika.
Waziri wangu Makamba tusaidie