johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Hata mvua zikinyesha?Na amesema kuna Bwawa moja.la kuzalisha umeme linakwenda kukauka ndani ya siku 40 zijazo.
Haka ka Zombie kanatoa matamuko kila siku.Na amesema kuna Bwawa moja.la kuzalisha umeme linakwenda kukauka ndani ya siku 40 zijazo.
Kama hali ndiyo hiyo sasa wewe na Makamba mna tofauti gani?Kwani hakukuwa na ulinzi?
Mbona maji yalikuwa hayapungui?..
haka ka jamaa ni kapuuzi hadi kameuvuka upuuzi wenyewe.Na amesema kuna Bwawa moja.la kuzalisha umeme linakwenda kukauka ndani ya siku 40 zijazo.
Na amesema kuna Bwawa moja.la kuzalisha umeme linakwenda kukauka ndani ya siku 40 zijazo.
Mimi Ndo usiseme. Ningekuwa benki kuu na mega kabisa hazina Bila uwoga na aibu 'e thed' of national budget naenda kutapanya kwa mademu wakali kwa kuwanunulia Magari na apartments masaki.natamani na mimi ningekuwa kwenye position ya kuyaibia ma zombie ya nchi hii, ni kuyakamua tu hadi damu mamaee zao
Utapata vidonda vya tumbo kwa mawazo kumtetea huyu ndugu yako.Kama hali ndiyo hiyo sasa wewe na Makamba mna tofauti gani?
Nani aliyekwambia namtetea mtu?Utapata vidonda vya tumbo kwa mawazo kumtetea huyu ndugu yako.
Ngoja tuone.Makamba anavyosakamwa najikuta namfananisha na jk kabisaa! Nieleweke kuwa nayaona makubwa mbele yake........he is going to make it, that I am sure of!
Mkuu, baraka na mafanikio vimo ndani ya dua mbaya za wenye chuki na wivu.....amini nakwambia, bad wishes na kila aina ya uzushi wenye lengo la kudhalilisha hugeuzwa (na Muumba) kuwa duwa njema kabisa ambayo hujibiwa haraka. Makamba anakuja mkuu, anakuja!Ngoja tuone.
Aina ya wapiga kura imebadilika sana!
Bwana mkubwa kwa kweli una ujasiri wa Kenge!Makamba anavyosakamwa najikuta namfananisha na jk kabisaa! Nieleweke kuwa nayaona makubwa mbele yake........he is going to make it, that I am sure of!
Sisi wengine tuna shida ya kujua huo ufisadi alioufanya tu, basi!Bwana mkubwa kwa kweli una ujasiri wa Kenge!
Hili fisadi haliwezi kufika popote!
Na wasimamizi wa bwawa la kihansi na kidatu wanasemaje? Tuone na video clip kama tulivyoona mteraWaziri wa nishati January Makamba amesema serikali imepanga kuzikutanisha wizara na taasisi zote zinazohusika na rasilimali Maji naada ya mwezi mmoja ili kuweka mikakati ya pamoja ya ulinzi wa vyanzo vya maji...