Hivi kituko unajua majina ya mawaziri walionunua maPhd's kwasababu nahamu kuliko maelezo ya kuwajua wazandiki haomsomi wa kweli utamjua tu hata anavyoshughulikia vitu utaona hichi ni kichwa na wala sio MaPhd's ya kununua ya mawaziri wenzie
hongera sana J Pombe Magufuli
Msomi mmoja maarufu alisema hivi, kama mvua inanyesha na haionyeshi kama imenyesha basi hakuna maana ya mvua hiyo kwepo.
Mhe. Magufuli siyo tu kwamba anajua anachokifanya bali kila anapopita anaacha "ATHALI HASI" Mfano:
1. Alipokuwa Waziri wa Ujenzi - Kajenga Nyumba ngapi ambazo Mawaziri wengine wala hawakuthubutu hata kuzifanyia Ukarabati zile zile zilizopo. BaraX2 ngapi amezisimamia na siyo hilo tu bali hata kujua urefu wake na maendeleo yake ya kazi yanavyoendelea.
2. Alipokuwa Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi, Tazama NHC ilivyobadilika kiutendaji hata Ofisi zao zilianza kubadilika.
3. Kapelekwa Mifugo na Uvuvi- Vile vyuo vyote vya Mifugo amevifufua, zile Ranchi zote za Taifa amezifufua.
Mimi sijuwi wengine wanashindwa Nini.
Waziri Magufuli namfahanisha na Mhe. Celina Kombani - Waziri wa Serikali za Mitaa kuna mengi ameyafanya katika Serikali za Mitaa tangu alipokuwa Mhe. Naibu Waziri na hadi sasa kuwa Waziri kamili. hao ndiyo watendaji tunaowataka.
nini wewe?kuna wizara lililooza kama hili...please give me a break
huyu jamaa ni genius fulani hivi, nadhani anaweza kulikomboa taifa letuNamkubali mno Dr Magufuli....go go go for Presidency
Magufuli ameonesha njia ...Viongozi vihiyo twendeni darasani Tusisubiri Udaktari wa kupewa bure tuuu..kama Kina Karume, DR Rais,Dr Rais Mstaafu na wengine..Twendetushike madesa tusapu sana mpaka tupate Phd za Kikwelkweli...Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, John Magufuli leo anatarajia kutunukiwa PhD ya kemia katika mahafali ya 39 ya UDSM
nini wewe?kuna wizara lililooza kama hili...please give me a break
Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania, John Magufuli leo anatarajia kutunukiwa PhD ya kemia katika mahafali ya 39 ya UDSM
Bravo John Pombe Maghufuli,
That's Y I admire science,scientists ambao hawaja siyasika(hawajaharibiwa na politiki) hawana longolongo terms/vocabularies za kuwa yeyusha wana inji,ni straight forward hitting the point na kuchapa mzigo as instructed + maarifa yao.
Viongozi wa juu wengi wa China ni engineers,pale ku instruct tuu,halafu ukizingatia chinese wenyewe ni kama robots basi wana respond tuu,,veery smooth.
Anyway,,,vandugu hakuna short-cuts,tule misuli...I mena tupige book,,,tena btn the lines,,,wengi tumeathirika na kudesa,kwa hiyo mtu hasomi hadi kuwe na paper which means akishamaliza versity tu na kuanza kazi basi na kusoma tena basi,,,unafanyaje kazi bila kuji update????,,natarajia hili haliwakuti ma daktari(watabibu) maana italeta shida.