Waziri Maghembe afafanua kuhusu Faru John, asema mchakato ulifanyika kabla ya uteuzi wake

tusionacho

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
274
1,000
Azam Two nimemfuatilia amesa sababu ya kufa ni uzee na kukataliwa na faru jike ivo aliachwa porini aliwe hakuzikwa hakuna kaburi ila naona kama anajibu majibu mepesi kwenye maswali magumu
 

chuwaalbert

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
3,601
2,000
Mwelekeo wa HOJA yake ni:
1. Serikali HAIKULETA TETEMEKO kwa hiyo HAIHUSIKI kutoa Msaada kwa Wahanga.
2.Baada ya Kupatwa kwa Jua kukawa na Maoni: "Tunamwomba Muheshimiwa alete tena Hali hii ya kupatwa kwa Jua Mwakani"....
 

pappilon

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
2,978
2,000
Naelewa huyu faru john ni moja ya endangered species ila mm naona kuna kitu kinatafutwa hapa zaidi ya faru john mwenyewe sijui ni kwa vile ni wajina wa mukulu.

Hahahahaaaaa Maghembe baba jinasue kwenye kitanzi kabla hujanyongwa baba.. Ukitumbuliwa uje utuambie nilishasema sikuhusika na suala la faru john kwani wakati mchakato wake ulipofanyika sikuwa kwenye ofisi husika.

Hivyo nimetumbuliwa kiuonevu tu..ila wanaweza wakakuuliza swali la kizushi kwa nn hukusema lolote kuhusu faru john mpaka pale kiranja Mkuu alipolivalia njuga suala hilo??
 

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,023
2,000
Sijui kwanini siku hizi siamini mwanasiasa yeyote wa ccm kwa maneno yao ya double standard hasa mawaziri........

They always stands with simple argument in sensitive things that matter....

Shame on you.......
 

maghambo619

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
819
500
Azam Two nimemfuatilia amesa sababu ya kufa ni uzee na kukataliwa na faru jike ivo aliachwa porini aliwe hakuzikwa hakuna kaburi ila naona kama anajibu majibu mepesi kwenye maswali magumu
Mwanzo alisema kua sababu ni kuhofia "inbreeding "
Leo tena Mbona anaongea mambo mengine?
 

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
173,928
2,000
Utani pemben jaman,kwa sifa za faru john sipati picha nyama yake ingeuzwa sh ngapi kutibu tatizo sugu la baadhi ya wanaume. Faru john pumzika kwa amani.
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,944
2,000
Huo ni utetezi dhaifu, yeye asubiri tu kutumbuliwa...

Kwa kuwa Magu anajua mambo 2 tu ya kuteua na kutengua....
 

dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
799
1,000
Kwa hiyo unataka kusema anaetafutwa sio FJ bali ni JF.
Yaani the vice versa is also true.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom