Vichache sanaKutoka Mwenge hadi Bagamoyo Vituo vya mafuta zaidi ya 200
OkToka Junction ya NMB/Uhuru Towers hadi Bagamoyo round about, nimehesabu sasa hivi vituo viko 45, na kama kuna nilivyosahau basi jumla kwa vyovyote havizidi 50.
Hiyi hesabu ya 200 umeitoa wapi?