Habar wana jamvi, sijui kama nipo kwenye jamv sahihi au laaah.
Mimi naomba kuuliza taratbu ukishatkipia kiwanja pesa zote zilizotakiwa hadi kuonyeshwa kiwanja chako inachukua muda gan?
Yapata miez nane sasa tangu nilipie kiwanja, ardhi wilaya ya mvomero hadi sasa akuna taarifa yoyote ya kwenda kuonyeshwa viwanja vyetu ili tuanze kupanda hata miti ya matunda na kuanza ujenzi. Kila siku twapgwa kalenda tu.
Sasa pesa wamechukua, kiwanja nimepewa makaratasi,nimepewa ofa tu hata hati miliki sijapewa?
Naomba waziri lukuvi,aje atusimamie huku mvomero-morogoro,otherwise viwanja vyetu vita uzwa mara mbili huku maana yawezekana havipo hv viwanja,
Nawasilisha