Nachukua nafasi hii Kumpongeza kwa Dhati Waziri wa Ardhi na Nyumba Mh.LUKUVI kwa Jinsi anavyowajibika.Mh.Waziri Suala la COCO BEACH Wahusika Wakuu ni WATALAAMU wako Kwani ndio wenye Jukumu la Kuilinda MICHORO ya MIPANGO MIJI na ya UPIMAJI.
Kama UJENZI una KIBALI ni Dhahiri WATENDAJI wako Wamehusika Kukitoa hicho KIBALI huku Wakijua Wanavunja SHERIA.Ni Imani yetu WATENDAJI hao wanastahiri Kuchukuliwa HATUA za Kisheria ili Iwe FUNZO kwa WATENDAJI
Wengine.
Wanakiukwa kwa Makusudi SHERIA kwa MANUFAA yao kwa Kupokea RUSHWA.