Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Hahahahah,harakaharaka kuna mtu alikuwa ananiongelesha halafu hajavaa barakoa!Leo Dogo hujalog off
Nalog off
Hahahahah,harakaharaka kuna mtu alikuwa ananiongelesha halafu hajavaa barakoa!Leo Dogo hujalog off
Ila wewe jamaa wee. Nimecheka balaaHahahahah,harakaharaka kuna mtu alikuwa ananiongelesha halafu hajavaa barakoa!
Nalog off
uchumi wa Tunisia unaendeshwa na uwekezaji kwenye fukwe, sisi fukwe ndio sehemu za kuvutia bhangi mateja, nadhani kuna sehemu hatuko sawa kichwani.Fukwe free hazina hata sehemu nzuri ya kupumzika hawa jamaa hawako mordern kabisa wanaishi maisha kiprimitive sana.Coco ya sasa haivutii kabisa.