Waziri Lugola: Kosa la ubovu wa gari ni moja faini yake ni Tsh 30,000 tu na si zaidi

Kwahili nampongeza ingawa mimi si mwanaCCM aka mwana ndio.
Ila je, sheria inasemaje?
Traffic police walikuwa wanatumia udhaifu wa madereva kutokujua sheria au hili ni tamko tu si sheria?
 
Back
Top Bottom