Waziri Kombo: Leseni za michezo ya kubahatisha zipunguzwe

Waziri Kombo: Leseni za michezo ya kubahatisha zipunguzwe

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema atamshauri Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Balozi Modest Jonathan Mero, kupunguza leseni za michezo ya kubahatisha ili vijanawaujikite zaidi katika shughuli za uzalishaji.

Waziri Kombo amesema hayo leo Februari 16, 2026 alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari baada ya Rais Samia kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa, nchini Ethiopia.

Soma ilikoanzia > Serikali ipige marufuku mashine za Kamari Gudugudu, hakuna uzalishaji wala huduma inayotolewa zaidi ya uraibu kwa vijana na tishio kwa taifa

 
Hilo ni point kubwa sana.michezo ya kubahatisha ni hatari kwa uchumi km wa kwetu.km mabonanza yafutwe yapewe maeneo maalum km night club
 
Back
Top Bottom