WAZIRI KOMBO AWASILI KAMPALA

WAZIRI KOMBO AWASILI KAMPALA

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mjumbe maalum, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Kampala Uganda na kupokelewa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Meja Jenerali Paul Simuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe tarehe 12 Mei, 2025.

Waziri Kombo anatarajiwa kuwasilisha Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Jenerali Yoweri Kaguta Museveni.
 
Attachments

  • IMG-20250512-WA0161.jpg
    IMG-20250512-WA0161.jpg
    373.8 KB · Views: 19
  • IMG-20250512-WA0163.jpg
    IMG-20250512-WA0163.jpg
    325.7 KB · Views: 15
  • IMG-20250512-WA0160.jpg
    IMG-20250512-WA0160.jpg
    347.7 KB · Views: 19
  • IMG-20250512-WA0162.jpg
    IMG-20250512-WA0162.jpg
    404.3 KB · Views: 17
  • IMG-20250512-WA0158.jpg
    IMG-20250512-WA0158.jpg
    312 KB · Views: 15
Tunasubiri na sisi bunge letu la Afrika Mashariki likutane na kutoa maazimio dhidi ya maazimio ya bunge la EU kuhusu mahusiano ya nchi za ulaya na nchi za afrika mashariki.

Hatimaye tunatarajia kuitishwa mkutano wa dharura wa AU kujadili na kuazimia kuhusu mwenendo huu mbaya wa nchi za EU dhidi ya nchi za AU wa kuziona kama makoloni yao. Tufike mahala tuseme enough is enough. Wabaki na fedha zao na sisi tubaki na maliasili zetu wanazozikodolea macho. Na wamchukue kwao huyo kibaraka yao Tundu Lisu ambaye tutamfutia uraia wake wa Tanzania. Wakome kutuchezea.
 
Dada angu ambayo yapo juu ya uwezo wako siyo vizuri kuyajadili
 
Back
Top Bottom