Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 261
- 199
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akihutubia Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Urusi uliofanyika tarehe 19 na 20 Disemba, 2025, jijini Cairo, Misri.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika, Jumuiya za Kikanda za Afrika pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi.
Mkutano huo uliofanyika chini ya Wenyeviti Wawili, Mheshimiwa Dkt. Badr Abdelatty, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri na Mhe. Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Urusi.