Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,770
- 1,173
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Uturuki.
Katika ziara hiyo ameshiriki Mkutano wa 4 wa Diplomasia wa Antalya (Antalya Diplomacy Forum - ADF2025) na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu Serikalini kutoka sehemu mbalimbali akiwemo Rais wa Kosovo, Waziri wa Fedha wa Uturuki, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Teknolojia linaloshughulikia nchi zenye uchumi wa chini na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine