Waziri kivuli wa Afya DHAIFU!

This would have been the best moment kujua hawa wanaotaka kuchukua nafasi ya CCM wangehandle vipi hizi issues

tatizo FREEMAN Mbowe kaingia mitini

DR SLAA haonekani

Waziri kivuli wa afya naye haonekani

naanza kuamini kuwa chadema ni CCM B kwani hawafanyi kazi ki professional na style yao ya kukimbia majukumu inakatsha sana tamaaa

hivi vyama vingine vya upinzani vimeishakata tamaa ya kuchukua dola - kimebaki CHADEMA tu? Kimya kingi kina mshindo, hataki kukurupuka na majibu mepesi, kama serikali dhaifu, na liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom