Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 906
Hii kali......goli ajifunge beki aliye uwanjani lawama apewe alie kwenye benchi?
Safari hi kali ya wiki,CCM wanajaribu sana kulihusisha hili na siasa wameshindwa.Wanasubiri*CDM itoe kauli japo moja tu ili wapate kuihusisha na mgomo.But CDM are smart guys for thisHii kali......goli ajifunge beki aliye uwanjani lawama apewe alie kwenye benchi?
Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari
sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi?
Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kipi?
Kwa nini huyu waziri kivuli amekuwa na tabia za ki CCM CCM ?
Mheshimiwa Nape, nakushauri uwapeleke mafunzoni hawa jamaa ulio wapa ajira humu, maana badala ya kukuletea ujiko wanazidi kukuaibisha tu hapa jamvini. Sasa hii thread wewe mwenyewe unaiona ina mashiko kweli?Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari
sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi?
Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kipi?
Kwa nini huyu waziri kivuli amekuwa na tabia za ki CCM CCM ?
Haaaaaaaaaaaaaaaaaa msamehe ashachanganyikiwa huyu.
Acha unafiki wewe ugamba unakusumbua,mambo yamewashinda nyie serikali legelege na dhaifu ya CCM mnataka sasa muwabakizie lawana Chadema,kama msimamo wa mapendekezo,Chadema walishatoa kabla na baada ya mgomo wa madaktari,na kwenye magazeti ukawekwa na humu Jf ukawekwa na watu wakapongeza hayo mapendekezo,lakini kwasababu serikali yako ya CCM si sikivu hawakuona haja ya kuchukua ushauri huo,sasa wamekutuma wewe mke wao mdogo kuna kuwalaghai watanzania,watanzania wa leo hamuwapati,mmeula wa chuya,haya nenda ukachukue posho ofisi za CCM baada ya kumaliza kazi uliyotumwa ya kuandika upuuzi! Kijana hovyo,unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umefungia kabatini.
Hii kali......goli ajifunge beki aliye uwanjani lawama apewe alie kwenye benchi?
sasa wewe unamsema waziri kivuli wakati raisi wako ambaye ni real sio kivuli kakaa kimyaa kama kamwagiwa maji, anza na huyo kwanza.
Sasa unataka waziri kivulia awafukuze kazi au? Unataka afanye nini yeye kama waziri kivuli? Chama chake kilisha toa tamko baraza la mawaziri lijiuzulu bado tuu unataka mengine ?
Waziri Kivuli wa Afya,
tafadhali tangu sasa kajiwekee utaratibu wako wa kuto kufuatilia mambo yanavyoendelea katika hospitali kuu zote nchini na kutoa taarifa kwa jamii mara kwa mara juu ya athari zinazojitokeza na kutolea msimamo kila tukio kwamba kama ofisi yetu rasmi ya upinzani katika eneo hili mnafikiri serikali ifanye nini ili kuboresha mambo kwa faida ya umma.