Waziri Kairuki akwepa kujibu swali kuhusu vijana waliositishiwa ajira zao

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Kuna swali limeulizwa bungeni kuhusu watumishi waliorudishwa nyumbani kupisha uhakiki, waziri Kairuki amekwepa kulijibu.

Swali: Kuhusu vijana waliorudishwa nyumbani kupisha uhakiki baada ya tamko la Rais
JIBU: Tumewarudisha 400.

Sasa sijamwelewa kwani walio simamishwa walikuwa 400 tu.Nani kamuelewa jibu lake?
 
Wakuu ..habar zenu..mnao fatilia bunge naomba kuuliza kama wame jadili kuhusu ajira mpya ...na kama wame jadili..zinatoka lini?
 
Hakuna kitu kama hicho, walishatudanganya miezi mitatu iliyopita hadi leo naona ziiiii
 
Waziri kasema zinatoka mwezi wa tatu lkn ni za walimu na wataalam wa maabara.Kama u miongoni mwao kaa mkao wa kula
 
Nyie binadamu wa Tanganyika, mlimsikiliza vizuri Mhe JPM jana katika hotuba yake ya siku ya sheria duniani? Jibu kuhusu kuyeyuka kwa ajira za vijana hao limo katika hotuba hiyo. Serikali haina pesa za kutosha kuongeza ajira. Huwezi kuajiri watu usioweza kuwalipa. Isikilizeni hiyo hotuba.
 
Bora kasema ukweli kuliko maigizo
 
Nyie binadamu wa Tanganyika, mlimsikiliza vizuri Mhe JPM jana katika hotuba yake ya siku ya sheria duniani? Jibu kuhusu kuyeyuka kwa ajira za vijana hao limo katika hotuba hiyo. Serikali haina pesa za kutosha kuongeza ajira. Huwezi kuajiri watu usioweza kuwalipa. Isikilizeni hiyo hotuba.
mh kuna mambo mawili hawa walishaajiriwa
 
Kuna swali limeulizwa bungeni kuhusu watumishi waliorudishwa nyumbani kupisha uhakiki, waziri Kairuki amekwepa kulijibu.

Nani kamuelewa jibu lake?
SWALI:kuhusu vijana waliorudishwa nyumbani kupisha uhakiki baada ya tamko la Raise
JIBU:tumewarudisha 400 ,sasa sijamwelewa kwani walio simamishwa walikuwa 400 tu

Aliyeshiba hamjui mwenye Njaaa
 
Wakuu ..habar zenu..mnao fatilia bunge naomba kuuliza kama wame jadili kuhusu ajira mpya ...na kama wame jadili..zinatoka lini?
swala la ajira mpya ni kwa awamu walimu zinatoka march,baada ya hapo afya april
 
Back
Top Bottom