Sio kwa majumba yaliyojengwa kwa fedha ya wananchi.Tena majumba yenyewe yanajionyesha ni ya bei au gharama kubwa sana. Unaweza kufanya quantity survey hapo au just estimation ni shilingi ngapi za kiTanzania zilitumika.Sijaluelewa mkuu, unajaribu kusema kwamba nikitumia pesa nyingi sana kuvunja sheria inabidi sheria itupwe ili mimi nisiwe nimepata hasara kwa kuvunja kwangu sheria?
Nakumbuka msemo wa kikwetu usemao "...Ukimsifu mgema tembo hulitia maji...! Magufuli amesema yale majumba ya shirika la umeme yanayoleta mandhari ya aina yake hapa jijini yaliyojengwa kwa mabilioni ya shilingi ni lazima yavunjwe eti yamejengwa kwenye sehemu iliyohifadhiwa kwa ajili ya kupita barabara.
Huyu mtu kama hana wazimu atakuwa na kitu gani hivi anafikiria hela iliyotumika ni hela ya serikali, ? Au ya shirika la umeme ,akili za watu wengine zinakuwa za ajabu ajabu ,anachotaka ni kuwapa tanesco eneo jingine wajenge upya ,kwa maana kwa dau hilo hela ingine itapatikana na wajanja kupata chao.
Mtu huyu alikuwa wapi wakati majumba hayo yakijengwa ?Serikali ilikuwa wapi ?
Unaenda kuvunja mijumba hiyo kwenye nchi ambayo uchumi wake ni wa kubahatisha au wakuu mnataka na kutafuta njia mbadala ya kufanya ufisadi,

Sio kwa majumba yaliyojengwa kwa fedha ya wananchi.Tena majumba yenyewe yanajionyesha ni ya bei au gharama kubwa sana. Unaweza kufanya quantity survey hapo au just estimation ni shilingi ngapi za kiTanzania zilitumika.
Inawezekana CCM wapo kwenye mikakati ya kuipa shida serikali itakayokuja badala yao.
Ama umekwepa kujibu swali langu au ni swali gumu kidogo kwako
Nakumbuka msemo wa kikwetu usemao "...Ukimsifu mgema tembo hulitia maji...! Magufuli amesema yale majumba ya shirika la umeme yanayoleta mandhari ya aina yake hapa jijini yaliyojengwa kwa mabilioni ya shilingi ni lazima yavunjwe eti yamejengwa kwenye sehemu iliyohifadhiwa kwa ajili ya kupita barabara.
Huyu mtu kama hana wazimu atakuwa na kitu gani hivi anafikiria hela iliyotumika ni hela ya serikali, ? Au ya shirika la umeme ,akili za watu wengine zinakuwa za ajabu ajabu ,anachotaka ni kuwapa tanesco eneo jingine wajenge upya ,kwa maana kwa dau hilo hela ingine itapatikana na wajanja kupata chao.
Mtu huyu alikuwa wapi wakati majumba hayo yakijengwa ?Serikali ilikuwa wapi ?
Unaenda kuvunja mijumba hiyo kwenye nchi ambayo uchumi wake ni wa kubahatisha au wakuu mnataka na kutafuta njia mbadala ya kufanya ufisadi,
Akivunja hili jengo nitamwona punguani!
Kuna tatizo gani hiyo barabara ikikwepeswa? Kama ana ubavu Ajenge ipite chini au juu. kama ni lazima ipite hapo.
Nimekuelewa kwa kina ila jibu langu limekupita.
Huwezi kusema sheria imevunjwa wakati kwa kujengwa Jumba hilo ,bia ya shaka yeyote ile hizo landmark za zinjia au hiyo master plan ilikuwepo kabla ya jumba hilo au sio ? Kama ni hivyo majengo hayo ni lazima yapitie katika idara kwa kupasishwa na kama kuna kizingiti chochote kile ,ujengaji huwa hauruhusiwi ,kumbuka tu aliejenga hapo si mwananchi anaekaa karibu na mipaka ya njia badala ya kuona kwa muda mrefu barabara haijajengwa akaamua kujenga,pengine na alama za upitishaji njia akazing'oa,majumba hayo yamejengwa kwa baraka zote za serikali iliopo madarakani,iweje leo hukohumo ndani ya serikali azuke mtu aseme ni lazima majumba hayo yavunjwe? Hivi serikali yeti ina uwezo gani wa kuyafanya hayo yote ?
Kama yanakiuka sheria za mabarabara hayana budi kuvunjwa.sheria ni msumeno inakata kotekote.nyie ndo wale mnaosema kwa kuwa mabango ya barabarani yanaingiza fedha basi yaachwe hata kama yanakiuka sheria na ushauri wa kitaalamu.
Songa mbele magufuli fuata sheria.
Work as a binary system...0 or 1
Huyu jamaa anatakiwa ku focus attention yake kwenye kujenga barabara. Badala yake sasa ana focus attention yake yote kwenye kubomoa majengo ambayo yamekuwepo hapo kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Huu ni wenda wazimu!
Kama hilo jumba ni la mtu binafsi hakuna tabu kwani itakuwa ametoa rushwa ili kupata kibali cha ujenzi na haswa ilivyokuwa kuna uhakika wa kutotakiwa majumba marefu,haya majumba ya Tanesco sidhani kama kutakuwa na rushwa zaidi ya ufisadi na kuyavunja na bila ya shaka kutahitajiwa kujengwa tena sehemu nyingine ,hiyo hela hapo ni ya walipa kodi ,Tanzania ni kubwa sana na bara bara na future plan inawezekana kupindishwa kuliko kulitia hasara Taifa, Kama Makufuli anataka kuyavunja hayo majumba basi ni lazima afanye uchunguzi na kulijulisha Taifa ilikwendakwendaje hata majumba hayo ikawezekana kujengwa hapo ili hao wahusika walipe gharama za majengo hayo na gharama za uvunjaji,hii sio nchi ya Magufuli peke yake ,afanye kila kitu vile aonavyo yeye,hilo haliwezekani ,ila ikiwa yeye anamiliki kampuni za uvunjaji majumba,sasa napata wasiwasi kuwa kampuni za kuvunja majumba ni za kwake au hela inayotumika kuvunja majumba na yeye anachota zake na kuwalipa matingatinga hela ya chai.Nyie mbona mnadiscuss ujinga? mnalijua lile gorofa la masaki lililobomolewa kwa kuwa kule hakukutakiwa kuwepo jengo lefu kama lile? mnajua gharama za jengo lile? Nyie ni wafuasi wa serikali ambayo inawaonea wananchi na nyie mmekubali. Sheria haijalishi serikali au mtu binafsi. Unaponibomolea kijumba changu kidogo ni sawa na yule unayembomolea gorofa. Mmeshafanya projection in twenty five years mahitaji ya ile bara bara yatakuwaje?
Magufuli yuko sawa myie ndio mmepotoka