Waziri January Makamba ajibu tuhuma dhidi yake

Waziri January Makamba ajibu tuhuma dhidi yake

H
Weka imani kwa Lowasa achana na magufuli.
ujalazimishwa kuwa na imani na magufuli, ondoa kabisa imani kwa magufuli.Na makamba hajihuzuru huyu mzungu kama alileta hela acha apigwe.Mwenye ushahidi kwamba makamba ni mwizi na apelike mahakani.
 
Jumamosi hii na joto hili, I am just enjoying this issue. ngoja nisome udaku sijui news...OK maandishi ya Mange yaliyoambata na post ya audio sikiliza ipo humu #20.

Haya C&P hii

@Regrann from @mangekimambi_ - January Makamba amehojiwa kuhusiana Na issue hii na ameelezea upande wake. Bonyeza link hapo kwenye bio yangu usikilize interview nzima. Utashindwa kujua ucheke ama ulie!!
.
.
It's a sad day for the future of Tanzanian leadership! Really Naomba usikilize response ya January and make your own judgment! Hata kabla sijaweka anymore evidence! In short kajiaibisha tu! Yani story yake inazua maswali zaidi ya majibu! .
.
Hili Ndo Tatizo la Mtu kudhani ana akili kushinda Wengine. Inshort January anajua Kuwa one of the things I was going to reveal Ni pesa alizopokea Kwa ajili ya project za Bumbuli na za matumizi mengine kutoka Kwa mlalamikaji in exchange for mlalamikaji kupewa madili serikalini ila kaongea kiujanja Kuwa yeye alimuomba dadake Ndo amchangie only later ndo kaja kujua Kuwa Hizo pesa dadake alipewa na mlalamikaji. January thanks for confirming that there was a direct transfer of cash from mlalamikaji kuja kwako kupitia dada yako! That's all Tanzanians needed to hear you say... No need to say hukujua zilipotoka au kwanini ulipewa. You knew!
.
.
January anajichanganya Mara haya mambo yote yametokea 2011, amesahau dadake mchana Kasema yalitokea 2010, then Mara Kasema yalitokea 2012, then Mara Mwaka Jana jamaa akaanza kunitafuta! Which is which? Eti jamaa alikuwa anamtafuta coz ya deni la dadake! Mwamvita Ni mtoto mdogo Mpaka Mtu akimdai aende kumdai kaka yake?? Dont insult our intelligence January!!
.
.
Nimecheka sana hapo mwisho aliposema eti hii yote ni vile natamani kupatanishwa na dadake. Well January, after the back and forth last night I'm sure now you know , being friends with your sister was never on my agenda! You people really think so highly of yourselves maskini! Get over yourselves!
.
.
Tanzania Bila Rushwa inawezekana! Swali ni kwamba Je atawajibishwa kama jinsi Wengine wanavyowajibishwa siku hizi????????? [HASHTAG]#Regrann[/HASHTAG]
 
S
Samauani sana kwenye Chama Chetu cha Majambazi hiyo kitu inaitwa kujiuzulu haipo kabisaaaaa.Tena msitujue na Lichama letu la Majambazi. Hiyo ndiyo Sera yetu kubwa aka kuliibia Taifa.
Sisi chama chetu cha CHADEMA ni kimbilio la mafisadi, akiwa ccm ni fisadi akihamia kwetu tunamsafisha hata makamba akihamia kwetu tutamsafisha mara moja.Chama chetu ni chama cha kusafisha mafisadi.
 
Jahazi la January Makamba kisiasa linazama. Alitumia mitandao kujipandisha sasa mitandao ndio inamshusha.

Wale vibaraka wake wanaojiita TOT wanaokesha twitter kumpaisha wako njia panda. Ukiingia jamiiforums, instagram na Facebook habari inayo trend ni upigaji dili wa January ila ukiingia twitter leo ni majonzi tele, utafikiri hawajui wala hawajaskia hii skendo.

Walizoea kutetea wapiga dili sasa wameshikwa pabaya. Vijana wa January vaeni miwani ya mbao muingie kazini kushika madodoki mbona bavicha walikaza wakamsafisha Lowassa ata nyie inawezekana.

Salim, Mariah, Chahali, Shwein Makamba aka Vick mosha etc okoeni jahazi.
 
Unajua kalibaki kaimani kidogo kama haradari lakini siku zinavyozidi kwenda naona karibu nitakuwa simyiti tena Rais...Kutukana na kauli yake Alishindwa na Mafisadi
asiitwe Rais,naona Mafisadi wapoi kibao kwenye miavuli yake
 
Nimesikiliza daha sidhani kama magu anaweza kumtumbua February na akitumbua ni kiusanii zaidi!Si unajua dogo alikisaidia chama kuingia ikulu?Kweli Mungu hamfichi mnafiki alivyo fanya February kupindua matokeo leo kweli Magu anaweza kumtumbua? Tafakari au atahamishwa Wizara?
 
Back
Top Bottom