Waziri Jafo: Tanzania haijawafukuza na wala haina mpango wa kuwafukuza Wafanyabiashara wa Nje

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo wakati akizungumza na ITV amesema, Serikali ya Tanzania imesema haijawafukuza na wala haina mpango wa kuwafukuza wafanyabiashara wa nje ya nchi waliopo nchini, isipokuwa imetoa katazo kwa wafanyabiashara hao kufanya biashara ndogo ndogo zinazofanywa na wazawa.

Khs yule mfanyabiashara mwenye uraina Kenya nini al maarufu kama Sethi aka Singasinga aliye trend kwenye CCM Dinner Gala!
 
Back
Top Bottom