Waziri Jafo na wanaCCM tuulizane: Tarehe 24/11/2019 tuwaambie nini wananchi tuliowahamasisha wajiandikishe kupiga kura?

1573784796558.jpeg
 
Wagombea wote mpaka wale walioenguliwa majina yatarudishwa kupigiwa kura na yataandikiwa yamepata kura 0 mpaka 10, ili ionekane yameshindwa kwa kukataliwa na wananchi.

Huu mchezo hauhitaji kutumia hasira wala mihemko. CCM kwa mara ya kwanza itapata ushindi wa kishindo kama wakiokuwa wanapata Sadam Hussein na Adolf Hitler na anaopata Kim Jong Un wa North Korea.

Ila sina uhakika kama CCM wana uwezo wa kukabiliana na nguvu ya uma kuwazidi hao akina Sadam Hussein.
 
Labda Mungu acyeumba mbingu na ardhi
Mkuu Learned Brother Petro E. Mselewa,
Katika mitaa na vijiji ambavyo wagombea wa CCM wamepita bila kupingwa, mshukuruni Mungu kwasababu ni Mungu amewapigia kura, laleni miguu juu mkisherehekea Mibaraka ya kuokoa time, money and resources, kwasababu hata kote zitakapopigwa kura, mshindi ni CCM.
kiukweli Magufuli ni chaguo la Mungu.
Anabarikiwa sana wagombea wa CCM wanapita bila kupingwa, Tanzania itabarikiwa sana na CCM itatawala milele
P
 
Kwenden wenyw c ulishasema ushind mtamu ni ule wa kushindana au umesahau?
If you can't get what you want, just take what you get.
Kama umepeleka timu uwanjani ili ushindane upige mabao ili upate ushindi, ulikuta mwenzako hajaleta timu uwanjani, unafanya mini?. Au unakuta kweli timu shindani iko uwanjani, lakini ile tuu kipenga kimepulizwa mwenzako ametia mpira kwapani na kusepa nao, unategemea nini?.

Ni kupokea tuu point mbili za mezani.
P
 
Mimi mwanzoni nilidhani wewe pascal ni mtu mwenye akili na heshima kabisa kumbe na wewe ni miongoni mwa wale wa zile asilimia za Twaweza?
Mkuu Mnyonge wa hali ya Chini, uko very right mimi ni mmoja wao tena nilijisema Wazi uwazi
P
 
Maisha yanaenda kasi sana yani ndani ya 4 years tumerudi enzi za TANU...
Yes kama tangu mwanzo tulimsifia Magufuli kama Nyerere,

Anapofanya mambo Kinyerere Nyerere pia tumpongeze
  1. Anachukia rushwa kwa dhati ya moyo wake
  2. Amehamishia Makao Makuu Dodoma
  3. Ametekekeza mradi wa Stigler
  4. Anabana matumizi,
  5. Amefufua ATCL
  6. Nyerere kajenga Reli ya Uhuru, Magufuli anajenga SGR.
  7. Amerudisha nidhamu ya kazi
  8. Watu waishi kwa vipato vyao halali
  9. Sasa anairudisha nchi kuwa ya Chama Kimoja CCM, kama enzi za Nyerere
  10. Akikamilisha atanirudisha Azimio la Arusha nchi kuwa ya Ujamaa na kujitegemea kweli kama katiba yetu inavyoeleza.
P
 
Hiyo namba 9 ni bonge la dongo kwa sisi makamisaa tumekuelewa
Yes kama tangu mwanzo tulimsifia Magufuli kama Nyerere,

Anapofanya mambo Kinyerere Nyerere pia tumpongeze
  1. Anachukia rushwa kwa dhati ya moyo wake
  2. Amehamishia Makao Makuu Dodoma
  3. Ametekekeza mradi wa Stigler
  4. Anabana matumizi,
  5. Amefufua ATCL
  6. Nyerere kajenga Reli ya Uhuru, Magufuli anajenga SGR.
  7. Amerudisha nidhamu ya kazi
  8. Watu waishi kwa vipato vyao halali
  9. Sasa anairudisha nchi kuwa ya Chama Kimoja CCM
  10. Akikamilisha atanirudisha Azimio la Arusha nchi kuwa ya Ujamaa na kujitegemea
P
 
Hahaaaa nimekupata vzr
If you can't get what you want, just take what you get.
Kama umepeleka timu uwanjani ili ushindane upige mabao ili upate ushindi, ulikuta mwenzako hajaleta timu uwanjani, unafanya mini?. Au unakuta kwenye timu shindani iko uwanjani, lakini ile tuu kipenga kimepulizwa mwenzako ametia mpira kwapani na kusepa nao, unategemea nini?.

Ni kupokea tuu point mbili za mezani.
P
 
Back
Top Bottom