Waziri Jafo, kulia ni unafiki uliopitiliza

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,470
96,019
Naibu waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo, Jana ametembelea shule ya msingi Uhuru mchanganyiko na kuona jinsi watoto wanavyopata shida na kujifanya analia.

Mimi naita huo ni unafiki uliopiliza kwasababu hayo matatizo ni ya muda mrefu sana na serikali inayotawala ni hii hii ya CCM na hiyo shule ipo hapa DSM, unalia kitu gani.
a9fcb1a3d086e16c8e74b7473e07b234.jpg
 
Naibu waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo, Jana ametembelea shule ya msingi Uhuru mchanganyiko na kuona jinsi watoto wanavyopata shida na kujifanya analia.

Mimi naita huo ni unafiki uliopiliza kwasababu hayo matatizo ni ya muda mrefu sana na serikali inayotawala ni hii hii ya CCM na hiyo shule ipo hapa DSM, unalia kitu gani.
Hali ikoje huko ktk jimbo lake la kisarawe?
Kama hapa Jijini hali ndy ile alioikuta..!!!
 
Huyu si mnafiki tu mdini na mshirikina sana tu... empty minded, i do wonder HOW ON EARTH PRESIDENT MAGUFULI SELECTED THIS LAZY dude to his CABINET... i have no idea...!!

Huyu ni best comedian, hypocrite, sielewi hata kapataje hii nafasi...!!

Huyu mzigo kabisa...
Toa uthibitisho ama zitakuwa ni hisia na chuki zako binafsi.
 
Hali ikoje huko ktk jimbo lake la kisarawe?
Kama hapa Jijini hali ndy ile alioikuta..!!!
Mkuu naamini kwa wana kisarawe ndio wanataabika zaidi kwani kama dar iko hivi,huko kisarawe iakuwa ndio kilio
 
Naibu waziri wa TAMISEMI Suleiman Jafo, Jana ametembelea shule ya msingi Uhuru mchanganyiko na kuona jinsi watoto wanavyopata shida na kujifanya analia.

Mimi naita huo ni unafiki uliopiliza kwasababu hayo matatizo ni ya muda mrefu sana na serikali inayotawala ni hii hii ya CCM na hiyo shule ipo hapa DSM, unalia kitu gani.
mbona wewe LOWASA aliposhindwa ulilia kwahiyo na wewe ni mnafiki?
 
  1. Ngoja akifika kisarawe tutamuuliza mbona unalilia msiba wa wengne unaacha wakwako wanahangaikia wengne??? Au ndo serikali ya magu imekufundisha kuitengeneza dar nakuacha majimbo yenu yapo hoi wananchi wanakula viwavi na wanafunzi kukaa chini.....nimegundua hata rahisi na mawaziri wanajisikia proud kutembelea maeneo yanayoongozwa na upinzani mfano dar, a rusha kigoma , kilimanjaro nk
 
Huyu si mnafiki tu mdini na mshirikina sana tu... empty minded, i do wonder HOW ON EARTH PRESIDENT MAGUFULI SELECTED THIS LAZY dude to his CABINET... i have no idea...!!

Huyu ni best comedian, hypocrite, sielewi hata kapataje hii nafasi...!!

Huyu mzigo kabisa...
Kuna ukweli kwenye hii post yako mkuu
 
Watangulizi wake hawakuliona hilo kama ni tatizo...msiwe mnalaumu kila kitu. Tumieni akili kufikiri
Watangulizi wake kutoka serikali ya chama gani mkuu?unajua maana ya chama kushika hatamu?wacha kujiondoa akili
 
Aache unafiki huku Kisarawe Maji hakuna, barabara hakuna pia!! Mashule ndio balaa!
Huo Ni unafiki mkubwa....
huyo jamaa yani huko kwake kisarawe ni moja ya wilaya zilizo nyuma kabisa kimaendeleo kila kitu ni hovyo hovyo kabisa mashule ndo usiseme watoto wanasoma kwenye mazingira mabovu kabisa sasa anapolia kana kwamba aliyoyaona ni mambo ya ajabu au mageni kwake ni unafiki uliopitiliza
 
Huyu ni Tapeli sana ... badala ya kuililia nafsi yake anajifanya analia kwa hali iliyopo shule ya uhuru. hivi huko kisarawe kwake amekuona kulivyo? huu ni unafiki wa kishetani kabisa. yaaani hali ya huko jimboni kwake ni worse anakuja kujiliza kwa hapa shule ya uhuru. jimboni kwakwe hata watoto shule hawapelekwi wanaoelewa wakiwa wadogo miaka 12,13,14,15,16. wanachezwa ngoma na kuolewa wakiwa wadogo sana. shule zao zimechoka zimebaki kama mabanda ya kuku.. walimu wanalalamika kufanyiwa vitendo vya kishirikina wanapolazimisha watoto waende shule.
leo jafo analia dar???????????????????????????????????? hii nchi sasa wanaiendesha kisanii sana. ni usanii tu kila sehemu. ajililie yeye na nafsi yake. ikiwa wamewatendea hivi watoto wa dar es salaam, itakuaje watoto wa kisarawe, samvula chole, mkuranga, sibiju na vijiji vingine nchini tanzania?
 
Huyu si mnafiki tu mdini na mshirikina sana tu... empty minded, i do wonder HOW ON EARTH PRESIDENT MAGUFULI SELECTED THIS LAZY dude to his CABINET... i have no idea...!!

Huyu ni best comedian, hypocrite, sielewi hata kapataje hii nafasi...!!

Huyu mzigo kabisa...
mkuu hapa unamzungumzia Lowasa au mbowe hawa ndiyo vituko kwenye taifa letu.
 
Back
Top Bottom