ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,044
- 49,727
Mnaojiita viongozi wa Nchi hii kuanzia huko kwenye mitaa waliko mabibi/bwana Afya na watu wa Mazingira Hadi Ngazi ya Mkoa mnafanya kazi gani ikiwa kipindupindu kimerejea baada ya kutokomezwa awamu ya 5?
Ukweli ulio wazi ni kwamba Kwa Sasa uchafu umekithiri mitaani na hakuna anasimamia,matakata yamerejea ,mamifuko ya plastics Maarufu rambi yapo Kila mahala,Kila sehemu ni dampo na Halmashauri zinasua sua kuondoa taka kwenye maeneo Yao.
View: https://www.instagram.com/p/C16rrgPMVPb/?igsh=MWhnMXdsbTVyaXJ3eg==
Ukipita bararani utaoni jinsi mitaro imegeuzwa madampo,makopo yamejaa,manyasi yamezunguka Hadi Ofisi za Serikali na kote huko Kuna wanaojiita Viongozi.
Ni aibu kubwa Kwa jamii kusubiria eti Kiongozi Mkuu wa Nchi aagize watu wafanye Usafi lakini Kwa jamii ambayo haijastaarabika kama Watanzania bila kuendeshwa kama punda hawaendi hivyo viongozi timizeni wajibu wenu, haipendezi mwaka 2024 Bado Kuna kipindupindu kisa uchafu.
Kwa mwaka Jana Kipindupindu kimeua watu Bukoba,Dar na Sasa Kahama.Jamii ijiulize tunasubiria kucharazwa viboko ndio tufanye Usafi? Viongozi timizeni wajibu wenu,ni aibu kubwa hii kumsubiria marehemu afufuke Ili aje kuhimiza Usafi.
View: https://www.instagram.com/p/C1ys_XlN1gt/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take
Viongozi wa ngazi za Chini acheni kumuaibisha Rais ,mnakera sana.
View: https://twitter.com/NikkiWa111/status/1744306710511067423?t=WYC6K-CSel95uH8X2AwUCw&s=19
View: https://www.instagram.com/p/C15J5QRN3UP/?igsh=MWkxcjk5ejRoZ3F3ZQ==