moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Waziri Wa TAMISEMI amefanya hivyo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa iringa ndugu Mhe Ally Happi..
Fyeeeekelea MbaliEsopo....kalumengenge
Ina maana huyu Waziri hakuweza kikaa na huyo kijana mdogo mkuu wa mkoa, na kumwelekeza akaombe msamaha peke yake? Au ameogopa kumgusa kijana wa boss wake yasijemkuta yalomkuta Nape? Huu utawala wa maigizo na visifa unakera sana.Waziri Wa TAMISEMI amefanya hivyo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa iringa ndugu Mhe Ally Happi.. View attachment 912658
Kwa sababu kila mmoja anatafuta creditability kwa mkulu.. Hivyo hamna budi tuvumiliane tu [emoji2]Waziri Wa TAMISEMI amefanya hivyo kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa iringa ndugu Mhe Ally Happi.. View attachment 912658
Wateuliwa Direct huwa Viburi.... habari ndio hiyo hata wakikosea wataomba msamaha wakitolewa like Pinda ''Piga tu kwani tumechoka.''Ina maana huyu Waziri hakuweza kikaa na huyo kijana mdogo mkuu wa mkoa, na kumwelekeza akaombe msamaha peke yake? Au ameogopa kumgusa kijana wa boss wake yasijemkuta yalomkuta Nape? Huu utawala wa maigizo na visifa unakera sana.
Binafsi nimeshindwa kuelewa Waziri anashindwa nini kumuagiza Mkuu wa Mkoa aombe radhi?Nchi ya mazombie ina raha sana yaani waziri anamuombea msamaha mkuu wa mkoa ambaye hajatambua kosa lake mpaka sasa..
Nimeamini hakuna utumwa mbaya kama wakujiona uko huru waziri hana lolote kwa RC