Waziri gani katika awamu hii ya tano anaweza kukumbukwa kwa utendaji wa uzalendo?

mi namuelewaga kimtindo Simbachawene hata wakimuoneshaga kwenye habari namsikiliza anaongea nn...hao wengine hapana kwa kweli...kwa mbaaali mzee Lukuv
 
Jf ndio imepewa kazi ya kuveti? Wako waheshimiwa Mawazi, na rudia wako, ambao kwanza wameelewa somo kwamba kilichomfikisha mh Rais JPM hapo alipo ni kujituma kuwa tumikia wananchi kwa bidii.

Na sema wapo Mawaziri na tuna waona na kuwa jua kwa matendo yao.
Tazama matendo yao.

Na washawasha!
 
The King Him Self....
s300_James_Duddridge_new.jpg
 
Back
Top Bottom