General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Pamoja na kumponda hivyo kumbuka ndiye aliyekuwa akiongoza tume ya mipango wakati waJK na kabla ajapelekwa TRA kisha wizara ya fedha na JPM
Magufuli alimsahau elite wa zamani na mshauri wa mkapa dr chamiWaziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Waziri huyu ambaye tunaaminishwa kuwa ni mchapa kazi ambaye hapo kabla alikuwa kamishna mkuu wa TRA.
Sijajua kama ni hujuma ndani ya ccm kumkomoa Magufuli na serikali yake, lakini kama si hovyo basi Magufuli hapa kalamba galasa.
Inawezekana vipi mtu ambaye unauzoefu wa muda mrefu katika masuala ya fedha alafu unashindwa kuleta mpango wa serikali kwa miaka mitano??
Inamana ulishindwa hata kuediti ile ya Kikwete?
Hakika naanza kushuhudia Kikosi cha Rais kikichoka kabla hata ya dak 45
kuongoza hizo taasisi haomanishi ndio yupo vizuri-hata JK kabla ya kuwa rais alikuwa waziri wa fedha na kwingineko lakini hadi aanondoka hamna chochote cha maana alicho acha.sasa kwa huyo DR.mpango nini kizuri Tanzania imekipata kutokana na nafasi alizo shika ktk taasisi hizoPamoja na kumponda hivyo kumbuka ndiye aliyekuwa akiongoza tume ya mipango wakati waJK na kabla ajapelekwa TRA kisha wizara ya fedha na JPM
Uzoefu wake ni upi? Nini rekodi yake ya nyuma?Waziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Waziri huyu ambaye tunaaminishwa kuwa ni mchapa kazi ambaye hapo kabla alikuwa kamishna mkuu wa TRA.
Sijajua kama ni hujuma ndani ya ccm kumkomoa Magufuli na serikali yake, lakini kama si hovyo basi Magufuli hapa kalamba galasa.
Inawezekana vipi mtu ambaye unauzoefu wa muda mrefu katika masuala ya fedha alafu unashindwa kuleta mpango wa serikali kwa miaka mitano??
Inamana ulishindwa hata kuediti ile ya Kikwete?
Hakika naanza kushuhudia Kikosi cha Rais kikichoka kabla hata ya dak 45
Alikopita aliacha tija gani?Pamoja na kumponda hivyo kumbuka ndiye aliyekuwa akiongoza tume ya mipango wakati waJK na kabla ajapelekwa TRA kisha wizara ya fedha na JPM
hawa madaktari wetu hawa...kazi kweli kweliTutaujua tu ukweli, Ila uongozi was bunge unafahamu kanuni zilivyo kwa nini ulimruhusu Waziri kusoma hiyo ajenda huku wakijua ni makosa kikanuni?
Nakubaliana nawe kabisa MZALENDO ORIGINAL. Isitoshe hawa viongozi Rais na baadhi in wapya kabisa ktk nafasi zao. Tuwape muda wazoee huku tukiwakosoa kwa nia ya kuwasaidia kwa sababu hats tukiwakejeli bado watakuwa nasi mpaka Rais atakaporidhika kwamba wameshindwa kazi. Pia Rais ametangaza vita dhidi ya ubadhilifu wa fedha za umma vita ambayo itawaathiri watendaji waliokuwa wakinufaika. Ni dhahiri kwamba baadhi yao wamenuna na watataka kulipiza kisasi kwa njia hiyo ya kutoa kitu ambacho si sahihi. Nakumbuka hats wakati JK anaanza awamu ya NNE yalitokea kama haya!Kukosea ni kawaida vitu vidogo kama ivyo yeye si malaika ,na sio kigezo cha kusema waziri uwezo wake ni mdogo,mbona aliposimamia ukusanyaji wa kodi miezi iliopita mpaka akavuka malengo wakati anakaimu ukamishina wa TRA hawajamsifu?Kakosea kidogo tu anaonekana ni kilaza bungeni kanakwamba ameingiza serikali hasara.Kuwasilisha mipango ya maendeleo ya serikali iwe mwaka moja miaka 5,miaka 10 kwakufuata kanuni na sheria za bunge kama mipango iyo haitekelezeki haina tija kwa wananchi.Ushabiki wa vyama tuweke pembeni tujenge nchi yetu.
Bavicha punguzeni ujinga kilichotokea kilikuwa ni hitilafu za kikanuni na si kiweledi wa wizara yake....Napata picha Rais kulifumua hili baraza la mawaziri kabla hata ya mwaka mmoja..........
Waziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Waziri huyu ambaye tunaaminishwa kuwa ni mchapa kazi ambaye hapo kabla alikuwa kamishna mkuu wa TRA.
Sijajua kama ni hujuma ndani ya ccm kumkomoa Magufuli na serikali yake, lakini kama si hovyo basi Magufuli hapa kalamba galasa.
Inawezekana vipi mtu ambaye unauzoefu wa muda mrefu katika masuala ya fedha alafu unashindwa kuleta mpango wa serikali kwa miaka mitano??
Inamana ulishindwa hata kuediti ile ya Kikwete?
Hakika naanza kushuhudia Kikosi cha Rais kikichoka kabla hata ya dak 45
Sifa za kijinga. Walimsifu kuwa no mchapakazi ila Leo kakutana na wajuvi ea mambo kumshinda yeye. Heko Lissu na dogo Zito kwa weledi wenu. I
Msingekuwepo hao wa ndiyoooo wangeupitisha kwani ni wabinafsi wasiojali maslahi ya taifa. Sijui kwanini mtoa roho hawatembelei viumbe hawa waaribifu.
Wachagga na Wakaskazini hamtakiwi... Huko CCM mnajipendekeza tu..Magufuli alimsahau elite wa zamani na mshauri wa mkapa dr chami
big up Zitto.Waziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.