..Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
Zaidi ya miezi miwili baadaye?
Mshawishi alwatan Mboye amrudishe yule dereva aseme ukweli, amemfungia hotelini anachangisha fedha kutunza Lisu na dereva kumbe anapiga dili
Je unafahamu Kalemani ni mbunge wa jimbo gani ?..Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
Kwnn Awe Kalimani Na Asiwe Igp Au Rpc Au Mwigulu Au Spika?Kuna Ukakasi Gani Kwnye Hili Tukio?
Kuna wapumbavu bado wanamsubiria Dereva wakituaminisha ndie shahidi pekee! Tanzania hii inatapisha kwa kweli..kwasababu cctv camera ilikuwa installed ktk nyumba ya Dr.Kalemani.
..Kwa maana hiyo ni mali yake na yeye ndiye mwenye mamlaka ya kujua kilichomo ktk kumbukumbu za camera hizo.
..Hebu jiulize ingekuwa wewe ndiyo Dr.Kalemani, je baada ya tukio kama lile kutokea nje ya nyumba yako hutakuwa na interest ya kwenda kuangalia kama camera zako zilirekodi?
..Sasa ni vizuri kufahamu Dr.Kalemani aliona nini, na alimtaarifu nani. Na alitoa taarifa hizo lini.
Ulinzi unalipiwa na nani? Kama ni wa serkali utakuwa na masharti yake, hautawajibika kwa majirani. Hivi kwa nini CHADEMA hawakumpa ulinzi Mnadhimu wake Mkuu? Au walimpa hela akazila? Umemtaka Waziri Kalimani "ajitolee": hii inategemea mahusiano. Je, walikuwa wanaamkuana asubuhi? Wanatembeleana Iddi? Watoto wanacheza goroli pamoja? Lissu kamtukana Kalimani matusi ya nguoni mara nyingi tu kuwa ni jambazi wa mikataba mibovu, kapewa kazi tu na Rais mtoto wa Dada lakini hafai, nk. Na Spika Tulia anatukanwa hivyo hivyo. Je ni sawa mtu kama huyu kujitolea? Mwisho kabisa hatujajua wahusika ni nani hasa? Dereva yuko wapi? Au ni inside job ndani ya CHADEMA?Mlinzi kafichwa wapi na na nani na aliponaje? Au ni majambazi wa kawaida au wamenunuliwa na maadui za Lissu kwenye kesi za mahakama? Au wachimba madini waliopunjwa?..Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
Ulinzi unalipiwa na nani? Kama ni wa serkali utakuwa na masharti yake, hautawajibika kwa majirani. Hivi kwa nini CHADEMA hawakumpa ulinzi Mnadhimu wake Mkuu? Au walimpa hela akazila? Umemtaka Waziri Kalimani "ajitolee": hii inategemea mahusiano. Je, walikuwa wanaamkuana asubuhi? Wanatembeleana Iddi? Watoto wanacheza goroli pamoja? Lissu kamtukana Kalimani matusi ya nguoni mara nyingi tu kuwa ni jambazi wa mikataba mibovu, kapewa kazi tu na Rais mtoto wa Dada lakini hafai, nk. Na Spika Tulia anatukanwa hivyo hivyo. Je ni sawa mtu kama huyu kujitolea? Mwisho kabisa hatujajua wahusika ni nani hasa? Dereva yuko wapi? Au ni inside job ndani ya CHADEMA?Mlinzi kafichwa wapi na na nani na aliponaje? Au ni majambazi wa kawaida au wamenunuliwa na maadui za Lissu kwenye kesi za mahakama? Au wachimba madini waliopunjwa?
Pole sana, kwa sababu CCTV hizo ni personal za Kalemani, siku hiyo..Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
Pole sana, kwa sababu CCTV hizo ni personal za Kalemani, siku hiyo
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
- Very unfortunately hazikuwashwa!, or
- Ziliwashwa ila hazikurekodi chochote, or
- Zilikuwa on, na zilirekodi kila kitu, ila ndio ilikuwa siku ya ku clear the savers, hivyo tulifuta kila kitu!.
- Majirani hawakusikia mlio wa risasi hata moja, kwa sababu walitumia silencer!.
Paskali
NONSENSE!!!!!Mshawishi alwatan Mboye amrudishe yule dereva aseme ukweli, amemfungia hotelini anachangisha fedha kutunza Lisu na dereva kumbe anapiga dili
Ukiingia ccm roho ya kibinadamu inatoka ...Iakini Dr.Kalemani wanafahamiana na TL toka Udsm kitivo cha Sheria.
..kuna suala la UBINADAMU hapa.