Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,562
- 217,894
Ukiingia ccm roho ya kibinadamu inatoka ...Iakini Dr.Kalemani wanafahamiana na TL toka Udsm kitivo cha Sheria.
..kuna suala la UBINADAMU hapa.
Ukiingia ccm roho ya kibinadamu inatoka ...Iakini Dr.Kalemani wanafahamiana na TL toka Udsm kitivo cha Sheria.
..kuna suala la UBINADAMU hapa.
aiseee.... Hapa ndio penye utata, huyu hawezi akatoa habari kivyovyote vile, maana ataonekana anamsaliti mkulu, huyu si ndio kaachiwa chatongwa?:-/Je unafahamu Kalemani ni mbunge wa jimbo gani ?
Pole sana, kwa sababu CCTV hizo ni personal za Kalemani, siku hiyo
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!.
- Very unfortunately hazikuwashwa!, or
- Ziliwashwa ila hazikurekodi chochote, or
- Zilikuwa on, na zilirekodi kila kitu, ila ndio ilikuwa siku ya ku clear the savers, hivyo tulifuta kila kitu!.
- Majirani hawakusikia mlio wa risasi hata moja, kwa sababu walitumia silencer!.
Paskali
..Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
Kwa vile kukitokea tukio, watu wa kwanza kabisa kuulizwa maswali ni the witnesses, hivyo tunamsubiri Lissu na dereva wake waje, ndipo sisi waandishi makini, tuanze kuuliza maswali...Thanks.
..Na waandishi wa habari mngekuwa wajanja mngeuliza maswali ya kina kuhusu tukio hili.
Tuache hayo yote ,Tiachane na itikadi za kisiasa,Kama ni Jirani mwema ,hivi Dk Kelemani ameshenda kumuona jirani yake huko Nairobi nilitaka kufahamu hayo maana kuna ujirani mwema...Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
....Kuna mafisi maji wengi humu....Mshawishi alwatan Mboye amrudishe yule dereva aseme ukweli, amemfungia hotelini anachangisha fedha kutunza Lisu na dereva kumbe anapiga dili
Tuache hayo yote ,Tiachane na itikadi za kisiasa,Kama ni Jirani mwema ,hivi Dk Kelemani ameshenda kumuona jirani yake huko Nairobi nilitaka kufahamu hayo maana kuna ujirani mwema.
Ubinadam angeenda kumjulia HALI..Iakini Dr.Kalemani wanafahamiana na TL toka Udsm kitivo cha Sheria.
..kuna suala la UBINADAMU hapa.
Naomba kuuliza,
anayesema waje wapelelezi wa nje, kwa kigezo kipi?
Tukumbuke hili si kama tukio la kuungua BOT
..Waziri wa Nishati Dr.Kalemani ni jirani na Mh.Tundu Lissu ktk makazi ya viongozi Area D Dodoma ambako shambulizi lilitokea.
..Watu mbalimbali wameeleza kwamba Dr.Kalemani ameweka CCTV cameras nyumbani kwake. Na cameras hizo zimeelekezwa eneo aliposhambuliwa Mh.Lissu.
..Sasa ingependeza kama Dr.Kalemani angejitokeza mbele ya umma na kueleza kilichomo ktk rekodi za camera.
..Lakini pia kuna ulazima wa camera hizo kukaguliwa na chombo huru ili kuondoa mashaka yoyote yanayoweza kutokea kutokana na maelezo ya Dr.Kalemani.
..Majirani wengine nao wanapaswa kujitokeza na kueleza waliona na kusikia nini kabla, siku ya tukio, na baada ya tukio.
..Baadhi ya majirani ni Dr.Tulia Ackson, Dr.Haji Mponda, na Katibu Mkuu wa wizara ambaye jina lake Mh.Lissu alishindwa kulikumbuka.
Cc MISULI, BAK
Nani kasema wameshindwa kazi, shahidi namba moja aliyekuwa eneo la tukio kafichwa. Yupo wapi dereva? Tukumbuke kamera haziwezi kutosheleza, niseme tu Chadema ndiyo wamekwamisha upelelezi..huoni kama wapelelezi wetu wameshindwa?
..sasa ni miezi zaidi ya miwili na hawajaweza hata kusema wanamtafuta mtuhumiwa yeyote.
..hili ni tukio kubwa na limechafua taswira ya nchi yetu na kuleta sintofahamu lakini wapelelezi wetu hawatoi matumaini yoyote ya kuwatia mkononi watu waliojaribu kumuua Tundu Lissu.
Nani kasema wameshindwa kazi, shahidi namba moja aliyekuwa eneo la tukio kafichwa. Yupo wapi dereva? Tukumbuke kamera haziwezi kutosheleza, niseme tu Chadema ndiyo wamekwamisha upelelezi
Haya ndio maneno...Lissu atalipwa na Mungu tu...