Waziri Bashungwa azidisha "shobo" akimsifia Harmonize mbele ya Rais Magufuli

kalooo

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
270
154
Waziri ino mwambie Magufuli amshonee suti nyingine harmonize ile aliyokuja nayo hapo vingunguti ni fupi nahisi karefuka.Nasema hivyo kwa sababu nimemsikia waziri inno akisema magufuli oyee harmonize oyeeee siyo ccm tena ,Haya kiongozi waziri kijana niliyekuona makini ila upambe umekuzidi basi leo umenikera kidoga kwa kushindwa kuwasilisha changamoto mbalimbali kama hzi hapo

ujue tunaexport nafaka Kwend nje kwa gharama ya dollars mil 85 na kuinput nafaka hizo hizo kwa gharama ya dollars mil 461.

Mda huo Nchi ina eneo LA kilimo hekta million 44,Katika hekta hizo eneo la kilimo cha umwagiliaji ni hekta million 29.

Tunauza mahindi yaani nafaka yote na si unga pekee .

Soko LA nafaka siyo stable yaani linayumba.

Benki za kilimo na maendeleo hazitambui hati ya urithi.

Madalali wanamuumiza mkulima

Mwingiliano wa TBS na TFDA

Ushuru kila kona kwa wakulima wanaposafirisha mazao yao.

Kwa kuhitimisha kwamba uchumi huanzia kwenye kilimo yaan.

Kilimo----------chakula----------Biashara-------viwanda---------ajira.
 
Dogo ana mke mzuri wa Kitutsi!

Anatomba kitu safi sana aisee!

Mengine ya kisiasa simsifii wala nini maana CcM wote kwangu ni haramu!
 
UMEharibu kila kitu yaani husomeki tu nikushauri fungua nyuzi nyingi halafu tupia mojamoja ili usomeke
 
Duh.Ulichoandika unaelewa mwenyewe

Back
Top Bottom